Tupate uthibitisho wa tuhuma zinazomkabili ASP Jumanne shahidi Na. 8 wa Jamhuri kesi ya Mbowe

Ukiangalia aina ya mashahidi wa jamhuri kwenye hii kesi na historia zao inatosha kabisa kumuonesha mtu mwenye akili timamu ni lipi lengo la serikali kwenye hii kesi ya Mbowe, wamechagua askari wahuni wasioheshimu majukumu ya kazi zao wawe mashahidi wao ili waseme uongo bila hofu yoyote kwa Mungu kwasababu ndio tabia yao.
 
Naomba kwa mwenye usahihi wa tuhuma zinazoelekezwa kwa shahidi Na. 8 atusaidie kuziweka hapa for future reference lakini pia kusaidia familia yake kujua kijana wao huko kazina anatumikia umma au anajitumikia. Hadi Sasa zipo tuhuma tatu nzito dhidi yake ambazo Ni:
1. Anatuhumiwa kumwekea mtuhumiwa wa Kwanza kwenye kesi ya Mbowe Bastola katika lengo lakufanikisha kubambikiwa kesi. Taarifa hizi Ni kwa mujibu wa mtuhumiwa wakati anajieleza wakati wa pingamizi

2. Akiwa OC CID Arusha anatuhumiwa kupokea mgao wa fedha za unyang'anyi zilizoporwa na Sabaya. Taarifa hizi ni kwa mujibu wa shahidi kwenye kesi iliyopelekea sabaya Kufungwa

3. Anatuhumiwa kushirikiana na aaskari wenzake kumwekea Prof mmoja pembe za ndovu kwenye mzinga na Kisha kumkamata profesa huyo na kumweka ndani akidai atamfungulia mashtaka ya uhujumu uchumi jambo lililopelekea Profesa kuwapa yeye na Askari wenzie milioni Mia Moja kufukia kesi hiyo. Baadaye taarifa zilivuja na profesa kuhojiwa na vyombo vya habari na kukiri kukamatwa na Askari wa upelelezi USA RIver ambapo Bw. Jumanne ndiye alikuwa mkuu wa upelelezi. Ni vigumu kumtenganisha OC CID na upelelezi ofisoni kwake na kumbuka yeye ndiye aliyelekeza mzee huyo kuwekwa mahabusu na kuruhusu vijana wake kwenda na mtuhumiwa Hadi benki kuchukua fedha.

Wakati tunajadili tuhuma hizo, taarifa zinadai alisimamishwa kazi kwa tuhuma zilizokuwa zinamkabili japo Hadi Sasa TAKUKURU awajachukua hatua yoyote dhidi yao. Aidha hakuna uchunguzi wowote uliofanywa kuhusu uhusika wake kwenye uhalifu wa Sabaya.

Hawa tuseme ndio wakubwa wa nchi hii, wanakupa kipigo wanapigiwa makofi kwa kazi nzuri.

Mwenye kupingana na taarifa hizi au Mwenye ilufafanuzi zaidi karibuni, Mimi haya Ni kwa mujibu wa yaliyopo mitandaoni na hapa ni mtandaoni twende kazi
Hili ndilo tatizo la idara nyeti kama SECRET SERVICE kuwa taasisi ya chama. Nchi have different na hawa haiewezi kuendelea kwa wahalifu na wabadhirifu wa aina hii kuendelea kuwepo ofisini
 
Naomba kwa mwenye usahihi wa tuhuma zinazoelekezwa kwa shahidi Na. 8 atusaidie kuziweka hapa for future reference lakini pia kusaidia familia yake kujua kijana wao huko kazina anatumikia umma au anajitumikia. Hadi Sasa zipo tuhuma tatu nzito dhidi yake ambazo Ni:
1. Anatuhumiwa kumwekea mtuhumiwa wa Kwanza kwenye kesi ya Mbowe Bastola katika lengo lakufanikisha kubambikiwa kesi. Taarifa hizi Ni kwa mujibu wa mtuhumiwa wakati anajieleza wakati wa pingamizi

2. Akiwa OC CID Arusha anatuhumiwa kupokea mgao wa fedha za unyang'anyi zilizoporwa na Sabaya. Taarifa hizi ni kwa mujibu wa shahidi kwenye kesi iliyopelekea sabaya Kufungwa

3. Anatuhumiwa kushirikiana na aaskari wenzake kumwekea Prof mmoja pembe za ndovu kwenye mzinga na Kisha kumkamata profesa huyo na kumweka ndani akidai atamfungulia mashtaka ya uhujumu uchumi jambo lililopelekea Profesa kuwapa yeye na Askari wenzie milioni Mia Moja kufukia kesi hiyo. Baadaye taarifa zilivuja na profesa kuhojiwa na vyombo vya habari na kukiri kukamatwa na Askari wa upelelezi USA RIver ambapo Bw. Jumanne ndiye alikuwa mkuu wa upelelezi. Ni vigumu kumtenganisha OC CID na upelelezi ofisoni kwake na kumbuka yeye ndiye aliyelekeza mzee huyo kuwekwa mahabusu na kuruhusu vijana wake kwenda na mtuhumiwa Hadi benki kuchukua fedha.

Wakati tunajadili tuhuma hizo, taarifa zinadai alisimamishwa kazi kwa tuhuma zilizokuwa zinamkabili japo Hadi Sasa TAKUKURU awajachukua hatua yoyote dhidi yao. Aidha hakuna uchunguzi wowote uliofanywa kuhusu uhusika wake kwenye uhalifu wa Sabaya.

Hawa tuseme ndio wakubwa wa nchi hii, wanakupa kipigo wanapigiwa makofi kwa kazi nzuri.

Mwenye kupingana na taarifa hizi au Mwenye ilufafanuzi zaidi karibuni, Mimi haya Ni kwa mujibu wa yaliyopo mitandaoni na hapa ni mtandaoni twende kazi
Ndiyo maana napingana na wanaosema hii kesi ifutwe,wacha inyeshe tuone wapi panavuja. Japokuwa tunajua mamlaka ya juu ya nchi imeshatoa agizo Mbowe atapotezwa na hukumu tayari imeshaandikwa lakini kadiri kesi inavyoendelea ndivyo CCM na Serikali yake dhalim inavyozidi kujivua nguo na kujipaka kinyesi mbele ya dunia.
 
Bora mawakili wajitoe haraka
 
Mambo ya aibu Tanzania ndo sehemu yake. Mnashangaa ya Jumanne kuwa mtuhumiwa kwa kukosa uadilifu na Leo anatow ushahidi mahakamani dhidi ya watuhumiwa. Mnasahau Mtemi Chenge aliyetajwa kwenye orodha ya wanufaika Escrow halafu bungeni akawa ndiye mtegemewa wa mawazo katika kuweka maazimio ya bunge juu ya kashfa hiyo. Hii ndo Tanzania ya CCM wamethubutu,wameweza na wanasonga mbele.
 
Naomba kwa mwenye usahihi wa tuhuma zinazoelekezwa kwa shahidi Na. 8 atusaidie kuziweka hapa for future reference lakini pia kusaidia familia yake kujua kijana wao huko kazina anatumikia umma au anajitumikia. Hadi Sasa zipo tuhuma tatu nzito dhidi yake ambazo Ni:

1. Anatuhumiwa kumwekea mtuhumiwa wa Kwanza kwenye kesi ya Mbowe Bastola katika lengo lakufanikisha kubambikiwa kesi. Taarifa hizi Ni kwa mujibu wa mtuhumiwa wakati anajieleza wakati wa pingamizi

2. Akiwa OC CID Arusha anatuhumiwa kupokea mgao wa fedha za unyang'anyi zilizoporwa na Sabaya. Taarifa hizi ni kwa mujibu wa shahidi kwenye kesi iliyopelekea sabaya Kufungwa

3. Anatuhumiwa kushirikiana na aaskari wenzake kumwekea Prof mmoja pembe za ndovu kwenye mzinga na Kisha kumkamata profesa huyo na kumweka ndani akidai atamfungulia mashtaka ya uhujumu uchumi jambo lililopelekea Profesa kuwapa yeye na Askari wenzie milioni Mia Moja kufukia kesi hiyo. Baadaye taarifa zilivuja na profesa kuhojiwa na vyombo vya habari na kukiri kukamatwa na Askari wa upelelezi USA RIver ambapo Bw. Jumanne ndiye alikuwa mkuu wa upelelezi. Ni vigumu kumtenganisha OC CID na upelelezi ofisoni kwake na kumbuka yeye ndiye aliyelekeza mzee huyo kuwekwa mahabusu na kuruhusu vijana wake kwenda na mtuhumiwa Hadi benki kuchukua fedha.

Wakati tunajadili tuhuma hizo, taarifa zinadai alisimamishwa kazi kwa tuhuma zilizokuwa zinamkabili japo Hadi Sasa TAKUKURU awajachukua hatua yoyote dhidi yao. Aidha hakuna uchunguzi wowote uliofanywa kuhusu uhusika wake kwenye uhalifu wa Sabaya.

Hawa tuseme ndio wakubwa wa nchi hii, wanakupa kipigo wanapigiwa makofi kwa kazi nzuri.

Mwenye kupingana na taarifa hizi au Mwenye ilufafanuzi zaidi karibuni, Mimi haya Ni kwa mujibu wa yaliyopo mitandaoni na hapa ni mtandaoni twende kazi
Usiwe na hofu, leo ataulizwa maswali na atalazimishwa ayajibu, hivyo wote tutajua ukweli japo kuna uwezekano wa kufutiwa tuhuma ili aweze kutoa ushahidi dhidi ya Mbowe.
 
Tanzania ilitakiwa kiwepo chombo huru kama SA nimeona HAWKS hao wanamchunguza hadi Rais wao hata IGP akiwa na tuhuma anachunguzwa na kipindu cha uchunguzi wa tuhuma zake aruhusiwi kwenda kutoa ushahidi wa kesi yeyote unaohusu kazi yake huu ni utani na utoto mtu tunaambiwa kachukua milioni 100 wakapeleka pembe za Ng'ombe kwa Mzee mstaafu harafu wanadai Meno ya Tembo mpaka wakamla milioni mia na yule Mzee alijua shamba boy wake ndio anafanya hizo Biashara ila mdogo wake aliempa milioni 30 kuongezea ifike 100 anajua hicho kikosi cha watu saba kinavyofanya kazi ikabidi afatilie yeye mwenyewe chini chini na kutoa pesa ili kuujua ukweli na alipoujua ukweli akamwambia Kaka yake hapa tumepigwa wewe uhusiki na dogo wa shamba ndio akatoa taarifa Takukuru na mamlaka za juu...ni hayo tuu yule Mzee muungwana sana ambao tulikua tunawasiliana nae alisema tusimpigie simu polisi wanawatafuta wanaompigia simu wakidai ni wateja wake wa meno ya tembo ni hadithi ndefu wacha leo niishie hapa...
 
Yaani aibu ya serikali naiona Mimi. Mtu kama Profesa Maeda kuwekewa pembe za ndovu kwenye mzinga na Jumanne, ili mradi tu atoe hela zake za kiinua mgongo.

Kasimamishwa kazi, lakin leo mtu huyohuyo ndo Shahid wa Jamhuri.. naona aibu mimi
Walimuwekea pembe za Ng'ombe wahuni hao Mkuu ni vile bongo waungwana sana kwa kweli..
 
Naomba kwa mwenye usahihi wa tuhuma zinazoelekezwa kwa shahidi Na. 8 atusaidie kuziweka hapa for future reference lakini pia kusaidia familia yake kujua kijana wao huko kazina anatumikia umma au anajitumikia. Hadi Sasa zipo tuhuma tatu nzito dhidi yake ambazo Ni:

1. Anatuhumiwa kumwekea mtuhumiwa wa Kwanza kwenye kesi ya Mbowe Bastola katika lengo lakufanikisha kubambikiwa kesi. Taarifa hizi Ni kwa mujibu wa mtuhumiwa wakati anajieleza wakati wa pingamizi

2. Akiwa OC CID Arusha anatuhumiwa kupokea mgao wa fedha za unyang'anyi zilizoporwa na Sabaya. Taarifa hizi ni kwa mujibu wa shahidi kwenye kesi iliyopelekea sabaya Kufungwa

3. Anatuhumiwa kushirikiana na aaskari wenzake kumwekea Prof mmoja pembe za ndovu kwenye mzinga na Kisha kumkamata profesa huyo na kumweka ndani akidai atamfungulia mashtaka ya uhujumu uchumi jambo lililopelekea Profesa kuwapa yeye na Askari wenzie milioni Mia Moja kufukia kesi hiyo. Baadaye taarifa zilivuja na profesa kuhojiwa na vyombo vya habari na kukiri kukamatwa na Askari wa upelelezi USA RIver ambapo Bw. Jumanne ndiye alikuwa mkuu wa upelelezi. Ni vigumu kumtenganisha OC CID na upelelezi ofisoni kwake na kumbuka yeye ndiye aliyelekeza mzee huyo kuwekwa mahabusu na kuruhusu vijana wake kwenda na mtuhumiwa Hadi benki kuchukua fedha.

Wakati tunajadili tuhuma hizo, taarifa zinadai alisimamishwa kazi kwa tuhuma zilizokuwa zinamkabili japo Hadi Sasa TAKUKURU awajachukua hatua yoyote dhidi yao. Aidha hakuna uchunguzi wowote uliofanywa kuhusu uhusika wake kwenye uhalifu wa Sabaya.

Hawa tuseme ndio wakubwa wa nchi hii, wanakupa kipigo wanapigiwa makofi kwa kazi nzuri.

Mwenye kupingana na taarifa hizi au Mwenye ilufafanuzi zaidi karibuni, Mimi haya Ni kwa mujibu wa yaliyopo mitandaoni na hapa ni mtandaoni twende kazi
Huyu ni sawa tu na Abdala Zombi labda ndicho wanachofundishwa huko vyuoni kwao.
 
Tanzania ilitakiwa kiwepo chombo huru kama SA nimeona HAWKS hao wanamchunguza hadi Rais wao hata IGP akiwa na tuhuma anachunguzwa na kipindu cha uchunguzi wa tuhuma zake aruhusiwi kwenda kutoa ushahidi wa kesi yeyote unaohusu kazi yake huu ni utani na utoto mtu tunaambiwa kachukua milioni 100 wakapeleka pembe za Ng'ombe kwa Mzee mstaafu harafu wanadai Meno ya Tembo mpaka wakamla milioni mia na yule Mzee alijua shamba boy wake ndio anafanya hizo Biashara ila mdogo wake aliempa milioni 30 kuongezea ifike 100 anajua hicho kikosi cha watu saba kinavyofanya kazi ikabidi afatilie yeye mwenyewe chini chini na kutoa pesa ili kuujua ukweli na alipoujua ukweli akamwambia Kaka yake hapa tumepigwa wewe uhusiki na dogo wa shamba ndio akatoa taarifa Takukuru na mamlaka za juu...ni hayo tuu yule Mzee muungwana sana ambao tulikua tunawasiliana nae alisema tusimpigie simu polisi wanawatafuta wanaompigia simu wakidai ni wateja wake wa meno ya tembo ni hadithi ndefu wacha leo niishie hapa...
Kwetu haya hayawezekani Mkuu kama kuna picha zilitembea polisi wakishiriki kuiba kura unatarajia kuona wakitenda haki ama kuundiwa chombo cha kuwachunguza??? Pata picha ya gaidi Hamza na uchunguzi ulivyokamilika fasta na watu kupewa vyeti kisha rudi katika kesi ya tuhuma za ugaidi ya Mbowe utaona tulipo na wapi tunapelekwa.
 
Shida kubwa iliyotokea ni kwa Mamlaka za Tanzania kuamini kwamba Ole Sabaya anaweza kuratibu kesi ya Ugaidi dhidi ya Mbowe , Hiki ni kiwango cha chini sana cha akili.

Huyu Jumanne ni miongoni mwa Askari wenye kashfa za kibwege sana ! lakini eti kaaminiwa .

Naona aibu sana kuwa Raia wa Tanzania
Mimi ninaamini hii kesi itakapoisha all the accused will be acquitted. Ninaamini Mbowe na wenziwe wataachiwa tu.
Lakini ninaamini hii kesi will backfire kwa hawa watu. Hizi tuhuma zao zinafika kwenye masikio ya wenye mamlaka.
Hawa watu ninauhakika watakamatwa na baada ya hapo tutasikia mengi yenye kutia aibu yakiibuliwa.
Let's wait and see
 
Tanzania ilitakiwa kiwepo chombo huru kama SA nimeona HAWKS hao wanamchunguza hadi Rais wao hata IGP akiwa na tuhuma anachunguzwa na kipindu cha uchunguzi wa tuhuma zake aruhusiwi kwenda kutoa ushahidi wa kesi yeyote unaohusu kazi yake huu ni utani na utoto mtu tunaambiwa kachukua milioni 100 wakapeleka pembe za Ng'ombe kwa Mzee mstaafu harafu wanadai Meno ya Tembo mpaka wakamla milioni mia na yule Mzee alijua shamba boy wake ndio anafanya hizo Biashara ila mdogo wake aliempa milioni 30 kuongezea ifike 100 anajua hicho kikosi cha watu saba kinavyofanya kazi ikabidi afatilie yeye mwenyewe chini chini na kutoa pesa ili kuujua ukweli na alipoujua ukweli akamwambia Kaka yake hapa tumepigwa wewe uhusiki na dogo wa shamba ndio akatoa taarifa Takukuru na mamlaka za juu...ni hayo tuu yule Mzee muungwana sana ambao tulikua tunawasiliana nae alisema tusimpigie simu polisi wanawatafuta wanaompigia simu wakidai ni wateja wake wa meno ya tembo ni hadithi ndefu wacha leo niishie hapa...
Hii niliiona yutub ilinisikitisha sana kwani Proffer alipokuwa anajieleza kwa Mtu yeyote mwenye asili ya Utanzania utaumi.

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom