The_Poxs
Member
- Jul 20, 2015
- 51
- 79
Kutokana na tatizo la ajira limekuwa kubwa sana nimeamua kuja na uzi huu kama kuwapa moyo vijana wanaohangaika huku na kule katika kutafuta ajira na kukutana na disappointments nyingi sana mpaka kupelekea kukata tamaa kabisa juu ya soko la ajira la Tanzania.
[emoji1428] Nilipigiwa simu ilikuwa ni mwaka 2017 majira ya mchana iv kwenye mida ya saa nane saa saba katika kipindi nimekata tamaa kabisa kwa kuomba kazi sehem mbali mbali na kufanya interviews nyingi bila mafanyikio.
Simu hiyo ilikuwa ikiverify jina langu na kuniambia jtatu uje na vyeti vyako halisi sehem furani ambayo ulishaombaga kazi siku furani uje uanze kazi sikuamini coz hata hela ya nauli tuu kwenda huko hiyo jtatu sikuwa nayo nashikuru mungu ilikuwa ni kweli na mpaka leo ndo nafanya hapo kazi na nalipwa vizuri tuu kukidhi mahitaj yangu yote muhimu[emoji3526]
Note:
Ukiona unateseka sana kupata kazi jua mda wako sahihi haujafika utapata tuu, we endelea kupambana kwa nguvu zote[emoji120]