Tupeane fursa zilizopo katika sekta ya uvuvi/baharini kwa wafanyabiashara

Tupeane fursa zilizopo katika sekta ya uvuvi/baharini kwa wafanyabiashara

Tochuku

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
5,322
Reaction score
8,412
Kichwa Cha habari chajitosheleza

Sekta ya uvuvi kwa ujumla kwa mfanyabiashara Mdogo anaweza kufaidika kwa kufanya michongo ipi

Seamen karibuni...
 
Kwa mtu alonao kome m nawahitaji
Kome wamekaa kama konokono hivi
Sawa mkuu..ungeweka details zaidi kua kias Gani na malipo ili mtu aweze kujua ambaye atavutiwa
 
Back
Top Bottom