Tochuku JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 5,322 Reaction score 8,412 Dec 1, 2025 #1 Kichwa Cha habari chajitosheleza Sekta ya uvuvi kwa ujumla kwa mfanyabiashara Mdogo anaweza kufaidika kwa kufanya michongo ipi Seamen karibuni...
Kichwa Cha habari chajitosheleza Sekta ya uvuvi kwa ujumla kwa mfanyabiashara Mdogo anaweza kufaidika kwa kufanya michongo ipi Seamen karibuni...
Akhi JF-Expert Member Joined Jul 12, 2021 Posts 5,668 Reaction score 9,806 Dec 1, 2025 #2 Kwa mtu alonao kome m nawahitaji Kome wamekaa kama konokono hivi
Tochuku JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 5,322 Reaction score 8,412 Dec 1, 2025 Thread starter #3 Akhi said: Kwa mtu alonao kome m nawahitaji Kome wamekaa kama konokono hivi Click to expand... Sawa mkuu..ungeweka details zaidi kua kias Gani na malipo ili mtu aweze kujua ambaye atavutiwa
Akhi said: Kwa mtu alonao kome m nawahitaji Kome wamekaa kama konokono hivi Click to expand... Sawa mkuu..ungeweka details zaidi kua kias Gani na malipo ili mtu aweze kujua ambaye atavutiwa
Akhi JF-Expert Member Joined Jul 12, 2021 Posts 5,668 Reaction score 9,806 Dec 1, 2025 #4 Chibike said: Sawa mkuu..ungeweka details zaidi kua kias Gani na malipo ili mtu aweze kujua ambaye atavutiwa Click to expand... Atakaekua tayari ani PM t
Chibike said: Sawa mkuu..ungeweka details zaidi kua kias Gani na malipo ili mtu aweze kujua ambaye atavutiwa Click to expand... Atakaekua tayari ani PM t
W Wisle JF-Expert Member Joined Dec 27, 2023 Posts 699 Reaction score 1,452 Dec 3, 2025 #5 Akhi said: Kwa mtu alonao kome m nawahitaji Kome wamekaa kama konokono hivi Click to expand... Tunaweza kupata picha mkuu? Au vile vinavyokuwa kwenye dagaa vidogo vidogo hivi?
Akhi said: Kwa mtu alonao kome m nawahitaji Kome wamekaa kama konokono hivi Click to expand... Tunaweza kupata picha mkuu? Au vile vinavyokuwa kwenye dagaa vidogo vidogo hivi?