Tupeane habari za mvua: Mvua maeneo ya hapo ulipo mvua ikoje

Bukoba sahivi juakali, ila kinachonichanganya huku nimeishi zaidi ya miaka8 ila bado sijajua Masika ni lini na kiangazi ni lini maana naonaga inamwagika mda wowote. Halafu nachoipenda mvua ya huku ina ratiba, ikifika saa10 jioni huwezi ona mvua hadi usiku wa manage huko
 
Mkuu unaishi jangwani?
 
Wabheja Sana ghete
 
Mwambao wa pwani, Hapa toka jana 24/6/2025 saa mbili USIKU ni mvua mpaka SASA HIVI leo. Usiku mzima ilikuwa ndogo ndogo. Since morning up to now, it has been raining cats and dogs
Huku Dodoma tumesshau Hilo jina la mvua!
 
nipo Tehran hapa hakuna mvua nikibaridi kidogo.

tunasherehekea ushindi kwa kumdunda mzayuni na shoga yake halafukesho tunaanza kujenga nyuklia zetu

tupo na ayatollah
 
We noma kwa vitu vya Asili!
 
Huku nilipo ni Mawingu, vi manyunyu vinanyesha na kukata na kajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…