Tupeane LIKES

Ua moja lilishatoa tunda kitambo mkuu.
Tena liko huko maeneo yako unako noa vichwa vyao
Yaani hadi usukumani ushazurura!! Uko vizuri.
Kuna mkoa kweli umebakiza hii nchiπŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†
 
Yaani hadi usukumani ushazurura!! Uko vizuri.
Kuna mkoa kweli umebakiza hii nchiπŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†
Usukumani tena? Mbona kichwa panzi? Fungua codes
 
Kuna mtu alikuwa anaitwa bintiyanza, miss chaga, ukhty, faizafoxy wamepotea wpi sijui
 
Naomba nikupe ukweli mchungu.

kuna gharama kubwa kupendwa na mwanaume mwema au mke mwema.
Kumbuka huo wema wanauona wenzio nao wanatamani kupata kitu chema.

Vumilia ndg yangu.

Vinginevyo tafuta Wasira wa peke yako🀣🀣😍
Kwanini wasiraπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yaani hadi usukumani ushazurura!! Uko vizuri.
Kuna mkoa kweli umebakiza hii nchiπŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†
Huyu anatafuta watoto wa nje Kwa wamasai wamemaliza Sasa yupo huko halafu amenipiga mkwara nikikusaidia tu atanichema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…