Tupeane LIKES

Tupeane LIKES

Ua moja lilishatoa tunda kitambo mkuu.
Tena liko huko maeneo yako unako noa vichwa vyao
Yaani hadi usukumani ushazurura!! Uko vizuri.
Kuna mkoa kweli umebakiza hii nchi🙆🙆🙆🙆🙆
 
Kuna mtu alikuwa anaitwa bintiyanza, miss chaga, ukhty, faizafoxy wamepotea wpi sijui
 
Naomba nikupe ukweli mchungu.

kuna gharama kubwa kupendwa na mwanaume mwema au mke mwema.
Kumbuka huo wema wanauona wenzio nao wanatamani kupata kitu chema.

Vumilia ndg yangu.

Vinginevyo tafuta Wasira wa peke yako🤣🤣😍
Kwanini wasira😂😂😂
 
Yaani hadi usukumani ushazurura!! Uko vizuri.
Kuna mkoa kweli umebakiza hii nchi🙆🙆🙆🙆🙆
Huyu anatafuta watoto wa nje Kwa wamasai wamemaliza Sasa yupo huko halafu amenipiga mkwara nikikusaidia tu atanichema
 
Back
Top Bottom