Tupeane maujanja ya Excel

Mkuu angalia mwanzoni Kuna sehemu nimejibu vizuri kabisa na picha nimeweka
Nmefanikiwa vitu vingi sana mkuu, kuna maumbo kwenye mathematics ntakutumia unisaidie namna ya kuchora na kufix no, say duara lenye pembetatu ndani yake yenye angle eg 55, 90, 35.
 
Nmefanikiwa vitu vingi sana mkuu, kuna maumbo kwenye mathematics ntakutumia unisaidie namna ya kuchora na kufix no, say duara lenye pembetatu ndani yake yenye angle eg 55, 90, 35.
Ntajaribu kutengeneza video kabisa hakikisha unapitia Kwenye Group pia
 
home>> Review>> Protect Sheet

Hapo utaweza kuifunga sheet yako mtu mwingine yeyote asi edit au kupunguza kitu unaweza ukaweka password lakini inatakiwa uwe makini kwasababu ukiisahau haiwezi kurudishwa....
 
Karibu mkuu...Tuendelee kujifunza
Mkuu naomba unisaidie hapo kwa kutumia HLOOKUP ili niju mwanafuzi aliyepat Account 94 geography kapata ngapi?
Na je mwanafunzi mwenye jina lab Dough kapata history ngapi? na je aliye na jina linalo anza na J kapta geog ngapi? shukrani mkuu
 
Asante mkuu... Nipo vizuri pia.. Wasipokuja ntaanza mimi
Naomba kujua nawezaje kupanga division kwa matokea masomo ya secondary. Maana nikiandaa matokeo. division huwa napiga moja moja manually.
 
Daah hakika ushukuriwe mkuu ulianzisha huu uzi hatimaye nimeweza kuitumia VLOOKUP kwa kutafuta grades
 
Big up
 
Nimekuelewa mkuu... kuna njia mbili ngoja kwa leo nianze na rahisi halafu hiyo complex kidogo nitaielezea separately katika video zangu za kila siku...


hapo tuseme mfano 255/78 ipo katika Cell C3 inabidi uunde column nyingine mpya mbili na zipe majina ya denominator na numerator halafu kwenye Numerator column andika =LEFT(C3,3) Ikiwa na maana ikuchukulie namba tatu kutoka kushoto mwa C3 ambayo ni 255 na kupata Denominator andika =RIGHT(C3,2) ikiwa na maana ikuchukulie namba 2 kutoka kulia mwa C3 halafu uta drag kama namba zinazofuata chini zipo katika mfumo huo huo yaani digit3/digit2 kama zitabadilika rekebisha function yako respectively na endelea hadi mwisho...

Mwishoni tafuta jumla ya Denominator na numerator kama kawaida kwa kutumia =SUM(Range)

Angalizo>>> kuwa makini wakati wa ku drag kama kuna change ya format ya namba ya chini

kwa leo niishie hapo... let me know if you tried this kabla sijaja na the more complex one

simple pics below
 
HLOOKUP Nitazielezea... Endelea kufuatilia tu mkuu... Kuna mtiririko flan naufwata Kwasasa
 
Ubarikiwe sana kaka nitajaribu kesho nitakupa feedback pia nitafurah pia nikiona hiyo video kule
 
Ubarikiwe sana kaka nitajaribu kesho nitakupa feedback pia nitafurah pia nikiona hiyo video kule
Ndio namalizia kuiandaa Majukumu ni mengi ila napenda sana ku deal na hii kitu
 
safi sana mkuu..naipenda juhudi yako
Ni swali kidogo hapo... Kwanini umeamua kutumia VLOOKUP na Sio IF Function?
Kwa upande wangu mkuu nimeona ni iko fasta than if mkuu na nimeielewa vizur sana tofauti na if huwa inanigomeaga wakati mwingine napo itumia mkuu.vipi kuna ubaya katika hili mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…