Tupeane maujanja ya Excel

Naomba kujuzwa kwenye excel jinsi au namna ya kubadilisha text kutoka herufi ndogo na kuwa herufi kubwa randomly kama ilivyo kwenye word docunent
 
Naomba kujuzwa kwenye excel jinsi au namna ya kubadilisha text kutoka herufi ndogo na kuwa herufi kubwa randomly kama ilivyo kwenye word docunent
Asante Kwa Swali lako mkuu... Hii itasaidia wengi

Katika Excel Kuna functions zifuatazo


Ukiandika =UPPER(A1) Maneno yaliyopo katika A1 kama yapo katika small letters yatakuwa Capital letters

Ukiandika =LOWER(A1) kama yako katika capital letters yatakuwa small letters

Ukiandika =PROPER(A1) yataanza na Herufi kubwa tu


Hebu fanya na utupe feedback
 
Kwa upande wangu mkuu nimeona ni iko fasta than if mkuu na nimeielewa vizur sana tofauti na if huwa inanigomeaga wakati mwingine napo itumia mkuu.vipi kuna ubaya katika hili mkuu?
Yes ni kazi nzuri na hapo inaonesha umeielewa VLOOKUP kisawasawa!! Congrats!!

Ila changamoto ipo hapa.. Je kama mtu kupata D ni aliye na marks kuanzia 0-30 na wapo zaidi ya kumi Kwenye list?
 
swali masela! file la excel nililiweka password then nkasahau password! wajanja is there anyway naweza kulifungua au ndo basi tena!?
 
Naomba kufahamishwa jinsi ya kupanga nafasi/position za wanafunzi waliolingana katika matokeo ya mtihani kwenye series kwa kutumia ms exel
 
Naomba kufahamishwa jinsi ya kupanga nafasi/position za wanafunzi waliolingana katika matokeo ya mtihani kwenye series kwa kutumia ms exel
Nadhani nilishajibu hili swali huko juu... Hebu pitia mkuu
 
nashukuru sana mkuu,ila nimekwama kidogo kwani nina data ktk columns and rows je hiyo UPPER A1 ninaiandika wapi
 
ndugu naona upo vizuri excel hebbi nisaidie formula ya kutafuta ukibwa wa eneo kutoka kwenye longitude na latitude na pia utafutaji wake uweze kuconsider time difference kati ya hizo latitude na longitude, kama unaweza naomba unitafute kwa namba 0714890018. nitakutumia data na maelezo mengine. Tutalipana japo kiasi
 
poa mkuu ni rahisi sana unaweza nicheki PM unitumie hizo taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…