Tupeane maujanja ya Excel

Learn programming, specifically Visual Basic for Applications (Excel VBA). Andika macros for any problem you want automated. Utaonekana mchawi mbona....
Ni idea nzuri... Tutagusia huko mbeleni
 
mkuu hapo kwenye E11 andika =VLOOKUP(A10,A1:E8,4,FALSE)
 
Naomba kuuliza nawezaje kuandaa division ya mwanafunzi kwa kutumia grade? Mfano division I,II,III,IV,FLD
Swali zuri sana...

Endelea kufuatilia... Naanda video yake... Kuna vitu vingi vya kufanya Kwa pamoja
 
Naombeni msaada wakuu nataka 23.33 roundoff ije 24 na c 23
 
Mada nzuri sana
 
Mkuu Ethos naomba msaada, zile number nilivyosplit denominator na numerator nikifanya average ya hizo number inanigomea
 
Mkuu Ethos naomba msaada, zile number nilivyosplit denominator na numerator nikifanya average ya hizo number inanigomea
Fanya Avarage yake mwishoni chini...

=AV(A1:A100)
 
Pia kwa mfano kwenye hiyo screenshot hapo juu post [HASHTAG]#357[/HASHTAG] hapo kwenye column c nataka niweke actual age but nikiweka formula nikipata majibu mawili ninavyohighlist nidrug zilete majibu ya hizo nyingine za chini inacalculate tofauti cjui kwa nin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…