Ndio natumia Ms excel katika macbook. Nakutumia izi file zicheki moja ni sample cash listings ambayo hio ndo ina contain details za matumizi ya hela na nyengine Summery sample file, ambayo hii ni summery ya hio cash listings file, inakuwa na amount to corresponding to dates na each department, data zake zinatoka huko cash listings. Sasa nlifahamishwa lkn nkasahau jinsi ya kuweka hio pivot table ambayo itannionesha summery from each date and department na kunirahisishia kudrag data kutoka cash listing na kuzidrop katika summery file. sijui kama nimeeleweka mana si mzuri wa kuexplain mie 😀Unatumia Ms excel au? Ebu weka hilo file lako alafu upatiwe ufafanuzi haraka haraka ...
Mkuu xls is not supported kumbe sasa nimeziweka katika pdf hio cash listing sijui kama utaielewa kuipanga but i hope you will