Tupeane maujanja ya Excel

D5 kwenye formula haipo
Je inawezekana ku rank wa kwanza (I. e mwenye umri mkubwa) hadi wa mwisho automatically bila ku sort ?
 
Mkuu naweza jifunza kwa simu exel kwa simu pekee?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii hamjaijibu wataalamu...
 
Haya ma kitu nilikua nayajua theory tu kipindi nasoma ICT yaani MS office yote sikuwahi ku practice, spreadsheet nmesahau definition na hata sikumbuki formula hata moja wakati maswali lilikuwa nayapata na hiyo coz nlifaulu.

Nakumbuka tu active cell is a cell in use
 
Procedure ni zile zile kama unavyofanya vlookup kwenye same sheet,tofauti ni kwamba kwenye reference utaweka reference ya sheet uliyoweka data zako eg sheet 2.

=VLOOKUP(lookup value,reference,column index,false)
Ukishaweka comma baada ya lookup value,select sheet unayotaka kwenye sheet tab then select reference yako

Ili kukabiliana na changamoto ya kubadilika kwa reference, unatakiwa uweke alama ya $ ktk column name na row number kabla ya kudrag down formula yako. Mfano kama reference yako ni F5:F25, utatakiwa uandike $F$5:$F$25 ili kuifix isibadilike kadri formula inavyoenda chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry auto correction ya keyboard inasumbua,nimekosea formula ni hii

=IF(AND(J9
21 ni D sio F nilikosea hapo juu
Ukitaka ilete absent just unganisha na hii formula
IF(R20="","absent") maana yake ni kwamba kama marks haijajazwa (eg.mwanafunzi hakufanya paper) basi excel ilete absent


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha pia inagoma,upload failed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimejaribu inaniandika False basi. Yaani Hizi data siyo kwamba ziendana kwa Row, hapana zipo shagalabaghala. Unaweza kutu data iliyo kwenye Colomn A Rowa ya 3 ikafanana na iliyo kwenye Colomn B Row ya 1.
Ahsante.
Hiyo ni LOGICAL function, ina return true/false. Kama data zinafanana itaandika true vinginevyo itaandika false

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimejaribu inaniandika False basi. Yaani Hizi data siyo kwamba ziendana kwa Row, hapana zipo shagalabaghala. Unaweza kutu data iliyo kwenye Colomn A Rowa ya 3 ikafanana na iliyo kwenye Colomn B Row ya 1.
Ahsante.
Kama unataka ilete value nyingine tofauti na hiyo true/false, attach IF function (exact iwe ndani ya if) mfano unataka data zikifanana iandike correct ,zikitofautiana iandike incorrecr utaandika
=IF(EXACT(G27,H34),"correct","incorrect")

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Let say inaanzia hapo 662, nimechukua =C1-C662 ikanipa jibu, nikaendelea C1-C663 Ikanipa jibu ninapo hilight na kudrop down inanipa majibu ambayo siyo tena kuanzia 1k inakua na negativeView attachment 440675
Kucalculate age ya mtu tumia age Datedif au year frac.
Syntax yake ni =DATEDIF(start date, end date,"y")
Unaweza ukaweka function ya =TODAY() kwenye end date na hapo kwenye start date utakua unajaza birth date, herufi ya "y" itakuletea years, ukiweka "m" itakuletea months na ukiweka "d" itakuletea no of days btn two dates.
Simply Datedif ni kifupisho cha datedifference

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama utatumia yearfrac itabidi uweke na function ya INT kwa sababu year frac huwa inaleta no. of years na decimal. Int inasaidia kuondoa decimal (simply INT ni integer)

=INT(YEARFRAC(start date,End date)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me mnisaidie namna ya kutumia au kukokotoa Math & trig katika worksheet excel
Excel inacalculate tan,sin or cos of an angle in radian. Kama mtu anataka apate jibu la sin30° inatakiwa aandike =SIN(PI()*B2/180)
Where PI() ni pie na B2 ni angle in degrees

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa mara nyingine naomba mwongozo wa jinsi kurekebisha alama za watahiniwa katika somo la JIOGRAFIA I mean z-score kwa kutumia ms exel

Kupata Z-Score unahitaji kuwa na mean na Standard Deviation ya population yako. Nimetumia baadhi ya data kutoka sheet yako kutengeneza z-score kwa Brighton. Kupata kwa wanafunzi wengine, drag chini kutoka kwenye formula ya kwanza.

Kuandika kama somo, ninahitaji muda kidogo. Nitaedit baadaye nikipata wasaa. Ninaandika nikiamini unajua kutafuta wastani(Average) na Standard Deviation (Stand Dev)
 

Attachments

  • Capture Z-score cal.PNG
    8.8 KB · Views: 56
JAMANI, NAOMBENI KWA ANAEJUA, ANISAIDIE NAMNA YA KUANDIKA BARUA KWA KUTUMIA EXCEL......... NI SWALI NIMEULIZWA JAMANI KWENYE USAILI.
Swali la kizushi, kuandika word docs huwa inatumika MS Word japo unaweza pia ukatumia excel lakini haileti maana, ni sawa na mtu anayetumia punda kusafiria wakati gari analo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…