pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
D5 kwenye formula haiposwali la pili fanya hivi
Ziite data za sheet zoote unazotaka kuzipanga zikae kwenye sheet moja kisha uzipange kawaida
Mfano kama unataka data ya sheet2 mfano G10 ikae kwenye sheet1 utaandika =(Sheet2!G10)
Ukimaliza kuziita zirank kwa formula hii
=RANK(G9,G9:G19,0) ambapo D5 ni data ambayo unataka kuipanga, G9:G19 ni range ya data zako na 0 order ya kuzipanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Je inawezekana ku rank wa kwanza (I. e mwenye umri mkubwa) hadi wa mwisho automatically bila ku sort ?