Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,851
- 2,171
Lakini naona kama amount zako zimeanza na desimali (.) na Kisha mkato (,).Bahati mbaya mkuu nimeshatoka ofisini....
Mkuu hii ngoma bado inanisumbuaLakini naona kama amount zako zimeanza na desimali (.) na Kisha mkato (,).
Hapo itabidi ubadili/replace kwanza mkato iwekwe nukta Kwa Kila amount. Ndipo utakuja kubadili/replace nukta/desimali (.) Kwa kuweka mkato (,).
Mkuu hii ngoma bado inanisumbua
Hii ni baada ya kuhighlit data zote si ndio mkuu, na hii naona data hata hazitingishiki1 Nenda kwenye file juu kushoto
2 Chagua option
3 Chagua advanced
4 Tafuta sehemu imeandikwa system separators alafu uncheck
5 Nenda kwenye decimal operator futa hiyo , weka .
6 Nenda kwenye thousand separator futa hiyo . weka ,
7 Rudi ukacheck ile button ya system separator alafu bonyeza okay
Hii ni baada ya kuhighlit data zote si ndio mkuu, na hii naona data hata hazitingishiki
Hii ni baada ya kuhighlit data zote si ndio mkuu, na hii naona data hata hazitingishiki
Nabadilishaje mwamba....ufafanuzi tafadhaliHapana mkuu haina haja ya kuhighlight, kama inakaataa hiyo step ya mwicho ya kucheck box la system operator iruke bonyeza okay tu bila kucheki box la system operator. Ila makesure umebadilisha kwenye decimal separator na thousand separator
Ikikataa toa feedback
Umefikaje kwnye kutoa risiti kwny excel kwnz[emoji848][emoji848]Kwenye Invoice au Risiti. Kama unataka idisplay tarehe na muda wa kuiandika, enter the following formula. =now() . Hapa kila kitu utachofanya itajiupdate muda automatically.
Amemaanisha Invoice template au Receipt template ambayo ukiiandaa unaweza tumia Excel au Word au Publisher...Umefikaje kwnye kutoa risiti kwny excel kwnz[emoji848][emoji848]
Ukifungua excel, click file tab hapo juu then kwenye options zitakazokuja click neno Advanced, itakuja list ndefu, we tafuta sehemu iliyoandikwa Use system separators, utaona kuna option mbili Decimal separator na Thousand separator...kwenye decimal separator, type nukta (.), kwenye thousand separator type comma(,)...ignore hizo brackets
Wakati huo data zako ziko highlited???...au unatumia format painter kwa cell utakayokuwa umei-change???Ukifungua excel, click file tab hapo juu then kwenye options zitakazokuja click neno Advanced, itakuja list ndefu, we tafuta sehemu iliyoandikwa Use system separators, utaona kuna option mbili Decimal separator na Thousand separator...kwenye decimal separator, type nukta (.), kwenye thousand separator type comma(,)...ignore hizo brackets
Hapana, unabadili bila kuhighlight..ukishaclick ok utaona data zako zote zimekaa sawa.Wakati huo data zako ziko highlited???...au unatumia format painter kwa cell utakayokuwa umei-change???
Mkuu mambo vipi, swali langu ni kama ifuatavyo;Hapana, unabadili bila kuhighlight..ukishaclick ok utaona data zako zote zimekaa sawa.
Open your excel file>>Go to File>>Options>>Advanced>>Check "Use system operator", kama utauncheck make sure kwenye decimal separator umetype (.), na kwenye thousand separator umetype (,) without brackets. By default system separator inaitambua (.) kama decimal separator, na (,) kama thousand separator so in case kama hutaki kutumia huo mfumo wa system separator, unauncheck then unacustomize separators zako then unaclick OK
"=SUMPRODUCT(- -($D$1:$D$100=$G$5),($J$1:$J$100))"Mkuu mambo vipi, swali langu ni kama ifuatavyo;
Nina watu 100 ambao ni casual labours, wanafanya site mbali mbali za ujenzi, na kila site ina bei yake ninayowalipa kwa kila atakaefanya kazi site husika
Sasa unakuta mtu mmoja kafanya kazi zaidi ya site tatu au nne naandaa sheet ambayo inakuwa na column zifuatazo /SN/NAME/DESCRIPTION/DAY/AMOUNT/NSSF/NET PAY
Sasa nataka formula ambayo kama mtu katokea zaidi ya site tatu au nne nikisha sort wakajipanga alphabetical, naiweka hiyo formula ambayo ina add amount zote za saiti alizofanya. Msaada tafadhali
Hebu ngoja ni-insert ntakupa mrejesho mkuu"=SUMPRODUCT(- -($D$1:$D$100=$G$5),($J$1:$J$100))"
Where
Column D ni Column ya majina
Column J ni Column ya amount
Cell G ni cell ambayo utakuwa unaandika jina la employee
Omit quotation marks (")
Cheki hiyo sample mkuu...majina ni kama hayo ne hesabu zake kwqa ujumla"=SUMPRODUCT(- -($D$1:$D$100=$G$5),($J$1:$J$100))"
Where
Column D ni Column ya majina
Column J ni Column ya amount
Cell G ni cell ambayo utakuwa unaandika jina la employee
Omit quotation marks (")
Hatuji kabisaWasipokuja itabidi tuwaite tu manake hamna namna
Hizo double minus (- -) umekumbuka kuweka? Weka double minus bila kuacha nafasi in between, na pia column lazima ziendane mfano column D ikiwa D1😀100 basi na column J lazima iwe J1:J100. Hapa utaanza na D11 sio D1 na column J pia inaanza na J11 (table ilipoanzia)Cheki hiyo sample mkuu...majina ni kama hayo ne hesabu zake kwqa ujumla
Hapo ni bila kuweka drop-down list ya majina mkuu??Hizo double minus (- -) umekumbuka kuweka? Weka double minus bila kuacha nafasi in between, na pia column lazima ziendane mfano column D ikiwa D1😀100 basi na column J lazima iwe J1:J100. Hapa utaanza na D11 sio D1 na column J pia inaanza na J11 (table ilipoanzia)