Tupeane maujanja ya Excel

Tupeane maujanja ya Excel

Bahati mbaya mkuu nimeshatoka ofisini....
Lakini naona kama amount zako zimeanza na desimali (.) na Kisha mkato (,).
Hapo itabidi ubadili/replace kwanza mkato iwekwe nukta Kwa Kila amount. Ndipo utakuja kubadili/replace nukta/desimali (.) Kwa kuweka mkato (,).
 
Mkuu hii ngoma bado inanisumbua
 
Mkuu hii ngoma bado inanisumbua

1 Nenda kwenye file juu kushoto
2 Chagua option
3 Chagua advanced
4 Tafuta sehemu imeandikwa system separators alafu uncheck
5 Nenda kwenye decimal operator futa hiyo , weka .
6 Nenda kwenye thousand separator futa hiyo . weka ,
7 Rudi ukacheck ile button ya system separator alafu bonyeza okay
 
Hii ni baada ya kuhighlit data zote si ndio mkuu, na hii naona data hata hazitingishiki
 
Hapana mkuu haina haja ya kuhighlight, kama inakaataa hiyo step ya mwicho ya kucheck box la system operator iruke bonyeza okay tu bila kucheki box la system operator. Ila makesure umebadilisha kwenye decimal separator na thousand separator
Ikikataa toa feedback
 
Nabadilishaje mwamba....ufafanuzi tafadhali
 
Kwenye Invoice au Risiti. Kama unataka idisplay tarehe na muda wa kuiandika, enter the following formula. =now() . Hapa kila kitu utachofanya itajiupdate muda automatically.
Umefikaje kwnye kutoa risiti kwny excel kwnz[emoji848][emoji848]
 
Msaada wakuu nina namba zipo kwa mfumo huu
12.465.372,00 nataka ziwe kwa mfumo huu 12,465,372.00
Nimejaribu kufomart cell,customs,text, sijui general lakini wapi
Cc: Njuka II Ethos Tutor B
Ukifungua excel, click file tab hapo juu then kwenye options zitakazokuja click neno Advanced, itakuja list ndefu, we tafuta sehemu iliyoandikwa Use system separators, utaona kuna option mbili Decimal separator na Thousand separator...kwenye decimal separator, type nukta (.), kwenye thousand separator type comma(,)...ignore hizo brackets
 
Wakati huo data zako ziko highlited???...au unatumia format painter kwa cell utakayokuwa umei-change???
 
Hapana, unabadili bila kuhighlight..ukishaclick ok utaona data zako zote zimekaa sawa.
Open your excel file>>Go to File>>Options>>Advanced>>Check "Use system operator", kama utauncheck make sure kwenye decimal separator umetype (.), na kwenye thousand separator umetype (,) without brackets. By default system separator inaitambua (.) kama decimal separator, na (,) kama thousand separator so in case kama hutaki kutumia huo mfumo wa system separator, unauncheck then unacustomize separators zako then unaclick OK
 
Mkuu mambo vipi, swali langu ni kama ifuatavyo;

Nina watu 100 ambao ni casual labours, wanafanya site mbali mbali za ujenzi, na kila site ina bei yake ninayowalipa kwa kila atakaefanya kazi site husika

Sasa unakuta mtu mmoja kafanya kazi zaidi ya site tatu au nne naandaa sheet ambayo inakuwa na column zifuatazo /SN/NAME/DESCRIPTION/DAY/AMOUNT/NSSF/NET PAY

Sasa nataka formula ambayo kama mtu katokea zaidi ya site tatu au nne nikisha sort wakajipanga alphabetical, naiweka hiyo formula ambayo ina add amount zote za saiti alizofanya automatically. Msaada tafadhali
 
Mkuu mambo vipi, swali langu ni kama ifuatavyo;

Nina watu 100 ambao ni casual labours, wanafanya site mbali mbali za ujenzi, na kila site ina bei yake ninayowalipa kwa kila atakaefanya kazi site husika

Sasa unakuta mtu mmoja kafanya kazi zaidi ya site tatu au nne naandaa sheet ambayo inakuwa na column zifuatazo /SN/NAME/DESCRIPTION/DAY/AMOUNT/NSSF/NET PAY

Sasa nataka formula ambayo kama mtu katokea zaidi ya site tatu au nne nikisha sort wakajipanga alphabetical, naiweka hiyo formula ambayo ina add amount zote za saiti alizofanya. Msaada tafadhali
"=SUMPRODUCT(- -($D$1:$D$100=$G$5),($J$1:$J$100))"
Where
Column D ni Column ya majina
Column J ni Column ya amount
Cell G ni cell ambayo utakuwa unaandika jina la employee
Omit quotation marks (")
 
Hebu ngoja ni-insert ntakupa mrejesho mkuu
 
"=SUMPRODUCT(- -($D$1:$D$100=$G$5),($J$1:$J$100))"
Where
Column D ni Column ya majina
Column J ni Column ya amount
Cell G ni cell ambayo utakuwa unaandika jina la employee
Omit quotation marks (")
Cheki hiyo sample mkuu...majina ni kama hayo ne hesabu zake kwqa ujumla
 
Attachments

  • InkedUntitled-DDD.jpg
    InkedUntitled-DDD.jpg
    157.6 KB · Views: 25
Cheki hiyo sample mkuu...majina ni kama hayo ne hesabu zake kwqa ujumla
Hizo double minus (- -) umekumbuka kuweka? Weka double minus bila kuacha nafasi in between, na pia column lazima ziendane mfano column D ikiwa D1😀100 basi na column J lazima iwe J1:J100. Hapa utaanza na D11 sio D1 na column J pia inaanza na J11 (table ilipoanzia)
 
Hapo ni bila kuweka drop-down list ya majina mkuu??
 
Back
Top Bottom