Tupeane maujanja ya Excel

Tupeane maujanja ya Excel

Ok, unajua uzi ni mrefu kuna mengine sijayapitia ... lipo lilishindikana kujibiwa?

Samahani mkuu hii z-score.naomba.unifafanulie.ina maana gani na inatumikaje yaan ukishapata value yake unaitumia sehemu gani kama hutojari naomba unielekeze inatumikaje kwenye huo field ya ualimu mkuu lengo nipanue uelewa wangu.ahsanteh
 
Umesoma statistics hadi level gani ili nijue nakueleweshaje
 
Kwa walimu Kuna Samples nimeziweka Kwenye Group kuhusiana na kuandaa matokeo

Hiyo ni kazi ya member mmoja humu humu JF ambaye alivutiwa na uzi huu... Imeshindikana ku attach hapa hivo kila kitu kipo Kwenye Group Letu la kujifunzia..

Asante sana mkuu
 
Link hii hapa...
Excel/SpreadsheetsTZ

Kumbuka ni chanel ya telegram ambayo haina usumbufu wa chatting... Only two to three posts a day... Thread imekuwa ndefu so kule unaweza Pata mtiririko wote kiurahsi sana...
 
Ni wazo zuri... Nimeiweka hivo ili kuepusha usumbufu mkuu na ili ukitaka kufuatilia vitu vyote upate kirahisi...

Ndio maana sijaifungua group la whatsup...
Good start. Nimekusoma
 
Mkuu Ethos naomba msaada wa kuhesabu 2 items from different column kwa mfano nataka nijue idadi ya toyota ist
Screenshot 2016-12-05 14.11.49.png
 
Back
Top Bottom