Tupeane maujanja ya Excel

Tupeane maujanja ya Excel

Unatumia Ms excel au? Ebu weka hilo file lako alafu upatiwe ufafanuzi haraka haraka ...
Ndio natumia Ms excel katika macbook. Nakutumia izi file zicheki moja ni sample cash listings ambayo hio ndo ina contain details za matumizi ya hela na nyengine Summery sample file, ambayo hii ni summery ya hio cash listings file, inakuwa na amount to corresponding to dates na each department, data zake zinatoka huko cash listings. Sasa nlifahamishwa lkn nkasahau jinsi ya kuweka hio pivot table ambayo itannionesha summery from each date and department na kunirahisishia kudrag data kutoka cash listing na kuzidrop katika summery file. sijui kama nimeeleweka mana si mzuri wa kuexplain mie 😀

Mkuu xls is not supported kumbe sasa nimeziweka katika pdf hio cash listing sijui kama utaielewa kuipanga but i hope you will
 
Attachments

Ebu kuwa wazi .. unayajua haya vizuri
Workbook = hili ndo file lilisaviwa kwenye excel
Worksheet = sehemu ya kufanyia kazi
Column = mgawanyo wa wima
Row = mgawanyo wa mlalo
Cell = Mahali zinapokutana column na row
Usichojua kuprotect ni kipi kati ya hayo yote?
Sorry hapo mwisho nilikuwa namaanisha cell yaan mfano nna data zangu zipo cell A1:E1 Then kwenye cell ya F1 ndo formula ya hzo data zingine zilipo let say ni =Sum. Sasa mm nataka niprotect hyo F1 ili mtu asibadili formula but cell zingine zbakie km zilivyo yaan zisiwe protected. Sasa nimejaribu kutumia Sheet protect naona inaprotect cell zote(whole sheet). Ni hivyo mkuu.
 
Ndio natumia Ms excel katika macbook. Nakutumia izi file zicheki moja ni sample cash listings ambayo hio ndo ina contain details za matumizi ya hela na nyengine Summery sample file, ambayo hii ni summery ya hio cash listings file, inakuwa na amount to corresponding to dates na each department, data zake zinatoka huko cash listings. Sasa nlifahamishwa lkn nkasahau jinsi ya kuweka hio pivot table ambayo itannionesha summery from each date and department na kunirahisishia kudrag data kutoka cash listing na kuzidrop katika summery file. sijui kama nimeeleweka mana si mzuri wa kuexplain mie 😀

Mkuu xls is not supported kumbe sasa nimeziweka katika pdf hio cash listing sijui kama utaielewa kuipanga but i hope you will
Nakupa sasa kazi ambayo imeishafanyika tayari then nakuwekea maelekezo ... sample zako sijazielewa ...
 
Sorry hapo mwisho nilikuwa namaanisha cell yaan mfano nna data zangu zipo cell A1:E1 Then kwenye cell ya F1 ndo formula ya hzo data zingine zilipo let say ni =Sum. Sasa mm nataka niprotect hyo F1 ili mtu asibadili formula but cell zingine zbakie km zilivyo yaan zisiwe protected. Sasa nimejaribu kutumia Sheet protect naona inaprotect cell zote(whole sheet). Ni hivyo mkuu.
upload_2016-12-19_9-45-48.png

soma hapo kwenye window ndogo ya fomart cell
 
Ngoja nianze kusoma sasa manual deaign kwa spreadsheet so wakuu nahitaji darasa la kutosha.... Sijui hata nianzie wapi....
 
Saaafi saana nitarudi na mimi kuna baadhi vitu napenda kushare na wengine..hapa
 
Huu uzi mzuri sana.
Nishukuru kwa mleta uzi kwani elimu tuliyiipata hapa kwa wingi wetu...mtu angelipia malaki jwa malaki.
Nishukuru kwa mara nyingine kwa kuwa actve kujibu changamoto za wadau.
 
Ngoja nianze kusoma sasa manual deaign kwa spreadsheet so wakuu nahitaji darasa la kutosha.... Sijui hata nianzie wapi....
Mkuu ni powa sana. Yaani mimi huwa na set equation zangua naacha sehemu za kuweka variable. Inakuwa kama simulation fulani hivi. Ukichenge variable moja data zina change zote. Kama ni manager inakuwa nzuri pia. Kwan unaweza kufanya decision haraka kwa kufanya simulation na kujua impact ya unachotaka kukifanya
 
Safi sana... VLOOKUP hata kama una bidhaa 1000 unaweza Jua bei ya kila kitu au information yeyote ndani ya dakika moja!
Kabla sijaijua vlookup...nikiwa mgeni kwenye kazi my first assignment nkapewa file mbili niadjust price, reference, barcode...nlitamani kukimbia.
Weeknd nzima nlishinda kutafta item moja moja...
Thanx to excel manouver
 
Mkuu ni powa sana. Yaani mimi huwa na set equation zangua naacha sehemu za kuweka variable. Inakuwa kama simulation fulani hivi. Ukichenge variable moja data zina change zote. Kama ni manager inakuwa nzuri pia. Kwan unaweza kufanya decision haraka kwa kufanya simulation na kujua impact ya unachotaka kukifanya
Mkuu hii kitu mimi nashindwa kuanza kuweka formular before yakuweka variable mkuu ebu nipe muongozo kwa hilo
 
Mkuu hii kitu mimi nashindwa kuanza kuweka formular before yakuweka variable mkuu ebu nipe muongozo kwa hilo
Mkuu naweka formula na namba zote ambazo ni constant. Unaacha tu zile unazotaka kubadili ili upate majibu fulani. Mfano unataka kujua effect ya kitu kama power consumption kwenye price na profitability ya product kwa wale wanaofanya kwenye manufacturing industry. Unaweza tengeneza equation yote kwenye karatasi na baadae unaitransifer kwenye excel. Simulation kama hii inaweza kukusaidia kujua kwenye power consumption kiasi gani unapata faida au hasara huku ukiweka constant Labour na maintenance cost. Mimi huwa natumia hii kupredict decision ya nini kifanyike
 
  • Thanks
Reactions: Dyf
Mkuu Ethos,

Nakushukuru kwa kuwa na moyo wa kusaidia wengine. Naona wengi hapa wanafaidika na somo lako. Hongera sana.

Nimeona nikuunge mkono kwa kutengeneza 'template' rahisi kwa ajili ya 'kucontrol' mikopo katika vikundi vya ujasiriamali, kuaidiana na hata vikoba. Nimeiambatanisha na andiko hili.

Template hii nimeitengeneza na kuiweka kwa lugha ya kiswahili ili wengi iwanufaishe na kuwasaidia katika kufuatilia mikopo katika vikundi vyao.

Ni matumaini yangu itasaidia.

Nawasilisha.
Mkuu, template hiyo ya ku control mikopo uliyosema umeambatanisha hatujaiona baadhi yetu, je unaweza kutuwekea tena? tunatanguliza shukrani
 
Jamani nimenufaika sana na uzi huu. Tatizo langu ni kuchora maumbo ya hisabati, huwa napata tabu sana.
 
Back
Top Bottom