thanks..
Nafikiri ni busara watu kufanyia kazi ndoa, na kutokuiacha isijendeshe yenyewe..unaposema unampenda mtu (You are in love with someone) maana yake upo tayari kuvumilia, kuondoa kiburi, kutokuwa mbinafsi (kuishi kwa ajili ya mwenzako),na kutomtendea mwenzako mabaya..
Hakuna kitu kizuri kama ndoa ikiwa walioingia kwenye ndoa wanajua nini kilichowaunganisha. Inapendeza sana pale unaposhirikiana na mwenzako mkiwa ndani katika kushauriana,kutiana moyo, kubembelezana.
Ni kweli ndoa zina matatizo, lakini hii threads ime-address negative nyingi kuliko faida. Na kuna mtu (Nyumba Kubwa) anasema kuwa si rahisi watu kuzungumza mazuri ya ndoa kwa sababu yanakosa 'attention'... si rahisi mtu kuja hapa na kuanza kumsifia mkewe au mume wake.
Kwa wale wanaojiandaa kuwa wake wema wangependa kupitia hii blog hapa
(Ndoa « Women Of Christ)
Mabinti wa JF jueni nyie ndo mna nafasi ya
KUIDUMISHA ndoa au
KUIBOMOA