Tupeane mbinu za ku-save: Unaweza kurudi na posho za kazi za field nyumbani?


Ungeweka wastani wa posho kwa siku, gharama za Hotel unayolala kwa siku, Gharama zako binafsi (chakula na kinywaji kwa siku) tungeweza kukushauri
Mfano: Miji mikubwa au inayokua, inahotel za watu wa vipato vyote, (wa chini, wastani, kati na juu)
Sasa kama lengo ni kuserve unatakiwa ulale Hotel za wastani 30,000 - 50,000 lakini pia, uachane na Pombe na wasichana.
Tofauti na hapo hata ukipewa laki mbili kwa siku zitaisha...
 
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi nnachofabyaga ni hiki. Kila pesa nnayopata natenga 50% ya matumizi ya kawaida, 30% uwekezaji kama na 20% savings! Hizi % zote zina acc yake na ikiingia tu nazi deposit bila kungoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…