Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,784
Kuwa mgomvi zaidi yake.
Kuna kipimo kinaitwa Ugomvimeter. Mpime hapo then zidisha maradufu.
Ha ha ha haaaa..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa mgomvi zaidi yake.
Kuna kipimo kinaitwa Ugomvimeter. Mpime hapo then zidisha maradufu.
Pole kwa hizo changamoto Mjukuu wangu.
Binafsi, naona njia ya kuishi na mtu mgomvi ni kumuelewa na kuikubalia hali na tabia aliyonayo. Unahitaji pia kuwa mvumilivu na kuongeza ukaribu wako na yeye kujua chanzo au asili ya yeye kuwa mgomvi. Isije kuwa kauli zake na matendo yake kwa kiasi yanachangiwa na tabia yako mwenyewe.
Lakini kama umejipima mwenyewe na kwa kupitia ndugu, jamaa na marafiki na kujithibitisha kuwa wewe uko safi na tatizo ni hulka yake ya ugomvi, na kama tabia hii imeendelea kukuletea stress kila siku, kwa kweli siioni sababu yoyote ya msingi ya kuendelea kuishi katika hali ya dhiki, stress na ugomvi kila siku kwa kisingizio cha ndoa.
Nyumba inatakiwa kuwa sehema ya furaha, amani na upendo na si uwanja wa malumbano. Lakini kama ugomvi umezidi na hakuna dalili ya kuisha, naona ni bora ujiongezee na kufanya maamuzi magumu kuliko kuishi na kuteseka kwenye familia yako mwenyewe kwa maisha yako yote yaliyobaki. Binafsi (na haya ni mawazo yangu) haiingia akilini kuendelea kuishi maisha ya mateso pasipo sababu ya msingi. Its either tutatue tatizo liishe au kila mtu atafute ustaarabu wake.
Kumbuka tu mjukuu we only live once!
Pole mjukuu,
Babuyo, HP.

Habari wanajamii,
Ni muda mrefu sijaingia humu sababu ya pilikapilika zilizokuwepo pamoja na kuwepo kwa magroup ya whatsupp kumepunguza concentration ya kuchangia mada humu.
Naomba tupeane mbinu za kuishi na mwanamke mgomvi kwenye ndoa ambae kila wakati anakuwa mtu wa ku complain kwamba ananyanyaswa ila ukamwambia akueleze unamnyanyasa na kitu gani hana jibu, ukijaribu kuangalia ama kujiuliza unamnyanyasa na nini huoni.
Kuna wanawake ambao hawaridhiki hivyo kila unachomfanyia anaona humtoshelezi. Akitaka kila siku wiki nzima mle nyama mtakula ila bado atalalamika sili vizuri.
Kama una tv ndani, labda anataka yeye aangalie chanel zake tu kwakuwa labda ana interest na movies, atashinda asubuhi hadi jioni na tv, ila wewe ukitaka uangalie taarifa ya habari ya saa 2 usiku ya dakika 20, atasema huo ni udikteta na unambagua.
Hazipiti siku 2 bila kupigiana simu na mama yake, ila baba mkwe atakaa hata mwaka hajamjulia hali. Ukimwonya kitu anasema huo ni uonevu, sipendi kukoromewa nitaenda kwetu.
Mwanamke kama huyu ambaye hawazi positively hata siku moja bali kuwaza negatively kila wakati na anakuwa mpinzani kwa kila kitu katika ndoa ni njia gani nzuri ya kuishi nae maana wengine tuna mioyo ya ubushoke ila siyo kwa kupenda bali kutokana na heshima mtu unakuwa nayo sasa ukiwaza kuchukua maamuzi magumu, jamii itakuangalia tofauti.
Najua huku kuna washauri wazuri na waliobobea bila kuwasahau wafurahishaji, wapondaji na watukanaji.
Nawasilisha.
hiyo ni tabia ya mtu mkuu,kuibadili inakuwa ngumu na mwishowe ndo mnaishia hapo kwamba unamnyanyasa,wanawake wengi wamekuwa sugu kila kitu anachofanya anakiona ni sahihi,dawa hapa ni kutafuta no stress zone moja siku moja moja unaenda kutulia huko, kikubwa umpatie shuguli ya kufanya ili muda mwingi asikae nyumbani ili kupunguza gubu nyumbani au mnapokuwa nyumbani.
Au kalelewa na BibiNinawasiwasi huenda huyo mkeo ni mzaliwa wa kwanza, au kalelewa na mama pekee, au ni binti pekee ktk familia.
dah mtu kaanza kugongwatoka akiwa primary,kiuhumla ashakuwa sugu,hakolezeki,mke mgonvi hata umkoleze vipi yani ukishamkojoza baada ya masaa anasahau anaanza ugonvi upya.Hahahahaaa mwanamke mkorofi ni bora kuliko yule muongeaji kama kijana sauti cha wauza sumu ya panya, utasikia dawa ya mende panya sisimizi kiroboto inajirudia kuanzia asubuhi hadi jioni. Hivo kwanza una heri kuwa mkeo si wale waongeaji tangu kuna kucha anaongea hadi mchana hadi saa ya kulala usiku yeye ni kuongea tuu. Ukisema utoke hadi unatoka getini yeye anaongea tena kwa nguvu na ukirudi hata saa 4 usiku utakuta anaendelea kuongea.
Dawa yao wote hawa ni kuwapa kichapo cha mbwa kuna ko 6*6. Hakikisha unamkoleza kisawasawa hata akuheshimu na kukupigia salute kila akikuona.
Sio umfanye kama unapekecha moto kwa kijiti na gogo lash.
Mlainishe mouse kila mahali hakikisha yuko hoi bin taaban hana hata nguvu ya kifurukuta kisha panda ufanye yako. Lazima heshima irudi ukiona umefanya yote hayo na bado yuko vilevile ujue amechoka na amezoea upole wako na unyenyekevu wako. Badili ka na uwe mkali na mbabe kwake ataiacha hayo.
Polee.
DuuhMbona dawa yao ndogo tu. Tengeneza kifaa kinachofanana na mwiko kifiche mahali.
Akianza kulalama ww usimjibu kuwa kimya tu, kama anandelea kuongea ww nenda sehem ulipouficha ule mwiko. Uchukue taratiibu halafu msogelee huku ukiwa umeuficha. Akiwa anaendelea kulalama utoe huo mwiko mtandike nao huko kwenye kimdomo chake hasa mashavuni zibua kama mara tatu huku ukiwa kimya bila kuongea kitu. Utamwona baada ya wiki harudii. Haina hata ya kurumbana na wanawake wa aina hyo hao n kipigo tu