Tupeane mbinu za kuishi na mwanamke mgomvi kwenye ndoa

Tupeane mbinu za kuishi na mwanamke mgomvi kwenye ndoa

Huyo lazima atakuwa ukawa na alimpigia kura fisadi Lowasa hapo hamna cha kufanya isipokuwa kumkata tu kama vile WatanZania tulivyomkata fisadi Lowasa!

Leo nimethibitisha wewe ni robot
 
Pata muda umweleze tabia zake zote usizozipenda na mweleze huwezi mvumilia zaidi AMA abadilike au aende kwao akamfanyie mama yake.

Ulikosea mwanzoni ulipomwonyesha yeye ni zaidi ya utu wako. Sasa mbadilikie na wewe unahitaji Furaha yako si kila wakati upoteze Amani yako kisa yeye mwambie kuna maisha baada ya yeye kuondoka
 
Mkuu shemeji hana ujauzito,maana wanawake wajawazito sometimes wanakuwa wakorofi balaa anaweza hata kukurushia taa ya kandili au simu yako akaitia kwenye ndoo ya maji.
 
Mkuu shemeji hana ujauzito,maana wanawake wajawazito sometimes wanakuwa wakorofi balaa anaweza hata kukurushia taa ya kandili au simu yako akaitia kwenye ndoo ya maji.

hahahaha may be
 
attachment.php
 
Attachments

  • IMG-20150610-WA0018.jpg
    IMG-20150610-WA0018.jpg
    43.9 KB · Views: 234
mmh sipati picha huyo mwanamke akipata mimba si ndo atakufukuza kwako kabisa eti unanuka....

mmh bora niendelee tu kupiga pulli
 
Piga mimba Huyo atatulia akijifungua atakuwa bize na mtt sio ww tena
 
Angalia sana matarajio (expectations) alizokuwa nazo yeye na mama mkwe wako kabla ya ndoa. Unajua wanawake wengine wanakuwa na expectations ambazo haziko wazi sana. Bhati mbaya hizo expectations zilitumika mwanamke au familia yake kukubali kuishi na binti yao. Tatizo linakuwa pale wanapoanza kuona kuwa kuna uwezekano wa expectations zao kutokamilika ndio unaanza kuona mwanamke haridhiki kwa kila unachomfanyia. Mpe nyama, tv nk bado tu haridhiki.

Jitahidi ujue expectations za mwanamke na familia yake hasa mama mkwe. Ukizijua u manage the expectations.
 
Ukiona anaanza kubiga kelele msogelee upigenaye selfie lazima anyamaze na kuweka pozi la vidole viwili
 
mkuu hilo suala la kubishana kwenye mda wa kuangalia t?rifa ya habari ,hata mimi imenikuta, dekoda ya azam inacha?nel ya cinema zet,so nikasubir kifurushi k?ishe, sijanunua kifurushi miezi miwili,yeye hawez tena kuangalia move, mbona alikuja kupiga magot, sasa hivi mda ukifika tu wa habar,i anabadilisha na kuwek itv.
 
hahahahaha namuonea huruma atakonda kwa upweke maana sometime nikiwa job tv ndo kampani yake
 
Back
Top Bottom