Emoj
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 839
- 1,304
nadhani kosa hapa ni kuoana na mtu ambaye interest zenu haziendani but anyway ndo ishatokea tayari. cha kukusaidia hapa ni jitahidi weekend hii au ijayo mtoe out sehemu nzuri,ale anachopenda halafu huku mkiwa mnakula mwambie kwa upendo kabisa ni namna gani ungependa abadilike na aache kuwa mgomvi.Nadhani kwa mwanamke mwenye akili hapa lazima abadilike