Tupeane mbinu za kuishi na mwanamke mgomvi kwenye ndoa


Babu una mawazo kama yangu. Mimi maisha yangu ndio ninavyo ishi kitu hakina faida na mie au kinanifanya kuwa na stress basi hukipiga na chini faster.
 

Babu ,,,
we die once..but we live everyday
 
hiyo ni tabia ya mtu mkuu,kuibadili inakuwa ngumu na mwishowe ndo mnaishia hapo kwamba unamnyanyasa,wanawake wengi wamekuwa sugu kila kitu anachofanya anakiona ni sahihi,dawa hapa ni kutafuta no stress zone moja siku moja moja unaenda kutulia huko, kikubwa umpatie shuguli ya kufanya ili muda mwingi asikae nyumbani ili kupunguza gubu nyumbani au mnapokuwa nyumbani.
 

umenena mkuu
 
dah mtu kaanza kugongwatoka akiwa primary,kiuhumla ashakuwa sugu,hakolezeki,mke mgonvi hata umkoleze vipi yani ukishamkojoza baada ya masaa anasahau anaanza ugonvi upya.
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…