Tupeane mbinu za kujikinga na wezi kariakoo. Nimechomolewa wallet ina elfu 80/-

Tupeane mbinu za kujikinga na wezi kariakoo. Nimechomolewa wallet ina elfu 80/-

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2017
Posts
6,097
Reaction score
7,199
Wakuu, tupeane mbinu aisee kama kichwa cha habari kinavosema.

Nilikua naenda kununua betri ya laptop, kwenye wallet nlikua na elfu 80/-. Nimefika shop na kupatanisha betri, ile nataka kutoa hela nakuta mfuko tupu, wamechomoa wallet na ndo ilikua na hela.

Wallet nliweka mfuko wa mbele wa suruali ya jeans na ilizama yote lakin watu wapepita nayo.
 
Mfuko wa mbele..jeans!?? dah basi wewe husaidiki! Labda usiende Kariakoo kabisa
hapo mm pia nimeshangaa, na sisi tunatoa tumia mifuko ya nyuma kuweka wallet inakuaje!!

either jeans yake ilikua kubwa sana au wallet ilikua ipo loose sana, mm jinsi wallet yangu ilivyojaa maCards yani imetuna nikiweka mfuko wa nyuma kuitoa lazima nitumie mikono miwili [emoji23][emoji28][emoji23]

pole yake asee.....ila kwa mfuko wa mbele ni uzembe, hushituki chief [emoji20][emoji20][emoji20]
 
Ipo siku utaibiwa papuchi sijui utarudije kwa jamaa/mumeo...
Mkuu hiyo labla sumbawanga huko, duh[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom