carcinoma
JF-Expert Member
- Mar 5, 2017
- 5,059
- 13,771
Hahaa yan nikirudi hom huwa wallet naweka mfuko wa nyuma halafu hata wasiwasi sina...mkoani rahaHaya ni moja ya mateso ya kuishi Dar,huku mikoani maisha ni raha sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa yan nikirudi hom huwa wallet naweka mfuko wa nyuma halafu hata wasiwasi sina...mkoani rahaHaya ni moja ya mateso ya kuishi Dar,huku mikoani maisha ni raha sana...
Asante sweetPole..jifunze kua makini.
Uko poa?Asante sweet
Kwa uwepo waki , am always fineUko poa?
Haya pokea izo[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Kwa uwepo waki , am always fine
Nawee[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] ....Haya pokea izo[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Shule zote ulizosoma hazipo Kariakoo pimbi wewe.Kaliakoo hata uwe na panga na bundiki huniibii o level hapo hapo Uhuru mchanganyiko advance hapo hapo Benjamin mkapa high school labda uwe na kifaru
Mkuu unatutisha sisi wezi sasa nakwambia nitakuibia hapo hapo utaleta mrejesho humuKaliakoo hata uwe na panga na bundiki huniibii o level hapo hapo Uhuru mchanganyiko advance hapo hapo Benjamin mkapa high school labda uwe na kifaru
AhsanteeeeeeNawee[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] ....
Hakuna uchawi wala ndumba, ulipigwa chenji kota hiyo.Mi nilinunua nguo vi brauz nilivion vzr kweli pale banana tu ukonga cha ajabu Kila nikichagua nazid kuzion nzuri mno nikanunua mzigo mzima brauzi 45 ivi kwajil ya kuvaa nikatoa pesa kufik home uwez amini brauz zote ni manyalunyalu wakat nilizijalibu afu nikashtuka why nimenunua brauz nying ivi
Jaman watu wachawi sana wanatumia dawa aseeee dah nilijikuta nalia
Zipo wapi mkuu?Shule zote ulizosoma hazipo Kariakoo pimbi wewe.
Njoo msimbazi utaibiwa tu wenzako walikuwa wanajiona wajanja kama ww tukawaibia ..Kaliakoo hata uwe na panga na bundiki huniibii o level hapo hapo Uhuru mchanganyiko advance hapo hapo Benjamin mkapa high school labda uwe na kifaru
Hio kwenye begi aweke ndani ya mfuko mdogo labda ila kuweka tu ndani ya begi mbaya haswa msimbazi pale nashuhudia sana watu wakifunguliwa begi na mie nilimdaka mmoja akitaka kunifungulia tena nilimdaka sabb ile njia najua tabia zao nilikuwa onguard muda wote nikitizama side mirrorUsiweke hela kwenye wallet.
Usivae vimodo hivi visuruali vya kubana ndiyo vinafanya wallet ibaki juu na ijichore.
Kama unajijua wewe mtu akikuona tu anaconclude kua ni mshamba pesa weka kwenye begi la mgongoni. Zipu ya ndani.
Epuka muonekano na miondoko ya kishamba.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] wale watu noma bwana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] jamaniiWewe naye pokea ushauri huo huo..usifike kariakoo. Ukiwa na hitaji huko nitafute nitakuendea kwa niaba yako.
You are welcome.
Hahahaha dahKaliakoo hata uwe na panga na bundiki huniibii o level hapo hapo Uhuru mchanganyiko advance hapo hapo Benjamin mkapa high school labda uwe na kifaru