Dogo G
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 1,052
- 440
HahaaaUsiweke hela kwenye wallet.
Usivae vimodo hivi visuruali vya kubana ndiyo vinafanya wallet ibaki juu na ijichore.
Kama unajijua wewe mtu akikuona tu anaconclude kua ni mshamba pesa weka kwenye begi la mgongoni. Zipu ya ndani.
Epuka muonekano na miondoko ya kishamba.