Tupeane mbinu za kujikinga na wezi kariakoo. Nimechomolewa wallet ina elfu 80/-

Tupeane mbinu za kujikinga na wezi kariakoo. Nimechomolewa wallet ina elfu 80/-

Usiweke hela kwenye wallet.

Usivae vimodo hivi visuruali vya kubana ndiyo vinafanya wallet ibaki juu na ijichore.

Kama unajijua wewe mtu akikuona tu anaconclude kua ni mshamba pesa weka kwenye begi la mgongoni. Zipu ya ndani.

Epuka muonekano na miondoko ya kishamba.
Hahaaa
 
Kikubwa kutembea haraka kwa kujiamini kila mara unachk walet sio kwa kujisachi ila kwa kujipiga na mkono ukiwa unatembea, hlf jitahidi kugeuza shingo kila inapobidi hata kam kun mtu anakufukuzia anapata woga
 
Back
Top Bottom