kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
Ipo siku utaibiwa papuchi sijui utarudije kwa jamaa/mumeo...Weka kiwembe juu juu
Mie huwa nina begi langu mgongoni naweka kiwembe kabisa
Wakigusa wanakutana nacho
Nyie mnaojifanya wajanja ndo mnaoibiwa kiulainiMtu anayeibiwa kkoo mimi namuonaga kama mshamba flani hivi. Kuwa attention na mali zako, ni hilo tu.
Nikwambie tu kuwa mimi kkoo ninazunguka sana, sio kuibiwa, hata kupoteza 100 sijawahi.Nyie mnaojifanya wajanja ndo mnaoibiwa kiulaini
HongeraNikwambie tu kuwa mimi kkoo ninazunguka sana, sio kuibiwa, hata kupoteza 100 sijawahi.
hapo mm pia nimeshangaa, na sisi tunatoa tumia mifuko ya nyuma kuweka wallet inakuaje!!Mfuko wa mbele..jeans!?? dah basi wewe husaidiki! Labda usiende Kariakoo kabisa
Ha ha ha ha ha...jiangalie mkuu.Ipo siku utanasa mwenyewe.Weka kiwembe juu juu
Mie huwa nina begi langu mgongoni naweka kiwembe kabisa
Wakigusa wanakutana nacho
Kariakoo siyo mitaa ya kujiapiza hivyo.Kaliakoo hata uwe na panga na bundiki huniibii o level hapo hapo Uhuru mchanganyiko advance hapo hapo Benjamin mkapa high school labda uwe na kifaru
Mkuu hiyo labla sumbawanga huko, duh[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]Ipo siku utaibiwa papuchi sijui utarudije kwa jamaa/mumeo...
Mitaa hiyo haina mazoea kihivyo.Kila siku wanabadilisha gia.Kaliakoo hata uwe na panga na bundiki huniibii o level hapo hapo Uhuru mchanganyiko advance hapo hapo Benjamin mkapa high school labda uwe na kifaru
Yakikukuta hautasimulia.Mtu anayeibiwa kkoo mimi namuonaga kama mshamba flani hivi. Kuwa attention na mali zako, ni hilo tu.