Dogo G JF-Expert Member Joined Jul 6, 2018 Posts 1,052 Reaction score 440 Jul 20, 2018 #101 Castr said: Usiweke hela kwenye wallet. Usivae vimodo hivi visuruali vya kubana ndiyo vinafanya wallet ibaki juu na ijichore. Kama unajijua wewe mtu akikuona tu anaconclude kua ni mshamba pesa weka kwenye begi la mgongoni. Zipu ya ndani. Epuka muonekano na miondoko ya kishamba. Click to expand... Hahaaa
Castr said: Usiweke hela kwenye wallet. Usivae vimodo hivi visuruali vya kubana ndiyo vinafanya wallet ibaki juu na ijichore. Kama unajijua wewe mtu akikuona tu anaconclude kua ni mshamba pesa weka kwenye begi la mgongoni. Zipu ya ndani. Epuka muonekano na miondoko ya kishamba. Click to expand... Hahaaa
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Jul 20, 2018 #102 Preciouss said: Mwendokasi( kabla wakosoaji hawajaja) Click to expand... πππumejiwahi afadhali ningekuja hapa Preciouss said: Au ulipanda mwendokadi Click to expand...
Preciouss said: Mwendokasi( kabla wakosoaji hawajaja) Click to expand... πππumejiwahi afadhali ningekuja hapa Preciouss said: Au ulipanda mwendokadi Click to expand...
Super Sub Steve JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 17,404 Reaction score 10,900 Jul 21, 2018 #103 Aleyn said: Mtu anayeibiwa kkoo mimi namuonaga kama mshamba flani hivi. Kuwa attention na mali zako, ni hilo tu. Click to expand... Hayajakukuta
Aleyn said: Mtu anayeibiwa kkoo mimi namuonaga kama mshamba flani hivi. Kuwa attention na mali zako, ni hilo tu. Click to expand... Hayajakukuta
M mzee wa kismati JF-Expert Member Joined Aug 25, 2013 Posts 2,292 Reaction score 798 Jul 22, 2018 #104 Kikubwa kutembea haraka kwa kujiamini kila mara unachk walet sio kwa kujisachi ila kwa kujipiga na mkono ukiwa unatembea, hlf jitahidi kugeuza shingo kila inapobidi hata kam kun mtu anakufukuzia anapata woga
Kikubwa kutembea haraka kwa kujiamini kila mara unachk walet sio kwa kujisachi ila kwa kujipiga na mkono ukiwa unatembea, hlf jitahidi kugeuza shingo kila inapobidi hata kam kun mtu anakufukuzia anapata woga