GE2025 Tupeane mbinu za kukabiliana na polisi tarehe 29

GE2025 Tupeane mbinu za kukabiliana na polisi tarehe 29

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Fala tuu yule babu, Uzi mzima comments zetu zimefutwa kisa tunaongea ukweli, ingekuwa n serikali ungekuta tushatekwa na kuuawa 😂
Kama wamefuta comments,basi walichelewa sana,too late coz tayari watu hawakua na imani ya kuchangia kwa kuogopa privacy zao,ndio maana muamko ukawa mdogo.
 
Kama wamefuta comments,basi walichelewa sana,too late coz tayari watu hawakua na imani ya kuchangia kwa kuogopa privacy zao,ndio maana muamko ukawa mdogo.
Laki mbili kwa memba zaidi ya laki, ni sawa na kila mtu ametoa 50 😂

Wangenyoosha maelezo wangepata nyingi zaidi

Members 5000 × 500 Tsh = 2,500,000
 
Back
Top Bottom