Tupeane mbinu za kuwapiga madingi "Mizinga "

Mkuu fikiria nje ya box,huyo dingi iko siku hatokuwepo..je na wale wasio na madingi? Shauri yako ndio mwanzo wa kupakatwa na kuliwa "kipira" usiseme hukuonywa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mdanganye mshua wako kua kuna mijeba inataka kukupumlia,ishaandaa kabisa KY jelly,ila ukiipa pesa ina hairisha azima yao. Nakuhakikishia kua mshua wako ataweka rehani kibanda chake ili akuokoe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah lol
 
Una umri gani?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah kumbe una file lake? Lol
 
Tuambie baba ako alikufundishaje kujitegemea mwenzetu...sisi walitupeleka.shule ili tuweze kujitegemea
Na shule Sio bure...Japo wanasema ni bure
Umejuaje baba yangu alinifundisha kujitegemea mpaka mimi niwaambie nyie alichonifundisha?

Alafu ukienda shule ndio unaweza kujitegemea?
Kuna millions of graduates lakini hawajitegemei sababu hawajafundishwa kujitegemea mpaka leo bado wanalala juu ya vitanda vya baba zao wengine wapo over 30.
Au huyu asingekuja kuanzisha mada kuhusu kuomba pesa.

Still ulichoandika hakiondoi uhalisia kwamba hii mada ni reckless pia ni utoto japo bila shaka aliyeandika sio mtoto.
 
Muonee huruma mzee wako basi.

Sitakuja kusahau jamaa flani chuo kila mwaka alikuwa anamtandika mzee wake laki 4 ya project hewa, mzee akikazia jamaa anaenda kuwapa simu rafiku zake wajifanya ndio wanaomsimamia kijana kwenye projekt๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Ngoma ikafika kwa bro wake msomi aliekuwa anaambiwa na mzee amtumie dogo pesa, yani inakuwa pembe tatu muamala kukamilika, kwanza dogo anamwambia mzee shida, pili mzee anamwambia bro wake hio shida, tatu bro akiona shida ina ulazima ndio atatuma pesa.

Sasa jamaa akampiga kizinga mzee wake anataka laki 4 ya project, mzee akafikisha kwa bro wake, bro wake akacheka akamtupia waya dogo akamwambia ana rafiki yake ambae ni mwalim (lecturer) hapa chuoni yeye hana namba yake kwahio dogo aende kumuomba namba ili wabonge na bro kuhusi hizo project, jamaa ikabidi asingizie huyo lecturer hayupo na project imeahirishwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Dogo karudi likizo bro wake ndo anamwambia unachofanya huko chuoni hakuna nisichojua, ujipange sana.
 
Tangaza unataka kuona changisha pesa ukishapata mtaji potea halafu sema kwamba ulienda kuoa kijijini ,baada ya muda unapiga picha na demu yeyote huku umevaa suti unapost facebook bila caption inakuwa imeisha hiyo.
 
Hawa first born wanasumbuaga sn wenyewe kipind wanasoma nan alikuwa anawasimamia
 
Tangaza unataka kuona changisha pesa ukishapata mtaji potea halafu sema kwamba ulienda kuoa kijijini ,baada ya muda unapiga picha na demu yeyote huku umevaa suti unapost facebook bila caption inakuwa imeisha hiyo.
Hii ni kesi ya wizi io
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikomeshwa.
 
Subiri dingi afe ule mirathi mkuu hakuna utamu mwingine zaidi ya huo
 
Sema umekufa wakutumie pesa za kusafirisha maiti.
 
Manyonyo is Bae...manyonyo is life
Apo ndio huwa unafurahishaga nimekupa offer siku nikija uko banana ntapita kwako nikunyonye manyonyo kwa lisaa moja tu ndan ya miez sita utafurahia manyonyo yatakuwa makubwa utalinga kila njia
 
Kuwa na madingi ambao hawajasoma raha sana me kipindi nipo shule nilikua nampiga sound mzee namwambia nimevunja chemistry sasa ticha kasema nitoe elf 20 lasivyo nafukuzwa shule basi mzee anagombaa weee mwisho napewa hiyo hela naambiwa kalipe kosa lako uvunje tena hiyo chemistry utahama huu mji, dah nimekumbuka mbali sana aisee.
 
Kumpiga mzinga mzee wako ni sawa na kufanya betting ambapo unataka uwe unashinda wewe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ