mgendege
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 322
- 388
Tumelala polisi baada ya jana usiku mida ya saa nane usiku tulikuwa kwenye bar jilani na mitaa ya nyumbani wakati tumo ndani kuna jamaa akaja kututonya kwamba kuna difenda nje walio kuwepo inje wamekatwa mwenye bar akatwambia tuwe kimya alafu akafunga mlango kwa ndani mala mlango unagongwa mtu anatukana kumamaye zenu fungua mlango kunajama alikua amelewa zaidi yetu akajibu kama ni maskari mnafirwa hatuwaogopi na mlango hatufungui gafla mlango ulivunjwa tukajikuta tuna amblia kipigo cha mbwa mwizi na tuko ndani ya difenda kipigo kile pombe zilikata gafla nikajikuta kama sijakunywa wiki nzima hivi ndo natoka selo wame nilamba laki moja wengine nime waacha ndani Cha kushanga wahudumu wa ile bar wali washusha njiani wakati tuna enda kituoni