Tupeane Mikasa ya Mapenzi: Kwanini pamoja na kumnyandua kimtelezo mara kadhaa siku hizi mademu wana nguvu ya kupotezea?

Msisahau siku hizi watu hutumia Contraceptives ili kuzuia mimba. Hapo hizo ndio zimezika ashk, Ladha na Raha ya mapenzi ya mwanamke kwa meeen.

Tena ukiwa na shows kali au romantic ndio kbsaaa maana unazidi kumchosha.. hao wahuni wanatoropoka pesa pesa ujue kinachosex ni pesa sio ww ck zikikata au kupungua utachanganyikiwa mara mbili
 
Shida hapo wewe unakua umegonga malaya
 
Wanawake wanawaza pesa wanaamini ndio suluhu ya kupata furaha yao. Na haya mambo yamenza na zile kauli za "wewe mpe pesa tu" huu upuuzi nimeusikia hata watu wazima wakiongea.

Wanawake ni kama watoto, unachomwambia au wanachokisema wanaume wao wanakiamini na kukishika kama muongozo wa namna ya kuishi.

Wanawake walikuwa na tamaa ya mafanikio na pesa ila sio kama ya sasa.

Kwasasa ni kama wanawake wameadopt tabia za kiume za kutaka pesa ili wajisimamie bills zao halafu wakipata wanatafuta wanaume dhaifu wa kuolewa nao ili wawapelekeshe kama vitoto.

Haya yamesababishwa na kundi la wapumbavu wachache wasiojua maana ya kuwa mwanaume na kumuongoza mwanamke.

Wanawake kwasasa haoni haja ya mahusiano sababu security ya maisha inapatikana nje ya mahusiano tofauti na zamani.

Ila muda ni mwalimu mzuri tutarudi tena pale tulipotokea kwa gharama kubwa sana muda si mrefu.
 
I apologize for using harsh language towards you, and I hope you don't take it personally. I admire your patience and positivity; you're a shining example that good-hearted people still exist.
Sasa mngetafuta chumba mnywe wine halafu mkiss na kupelekeana moto, hapo ndio msamaha unakuwa mtamu na umekamilika. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
They learned from the best! Vitu vingi wanawake wamejifunza kwa wanaume, wamejipimp kuendana na mahitaji ya nyakati za sasa na aina ya wanaume waliopo.

My opinion.
Kuna sehemu nilisema hili. Hata kwenye uchumi, wanawake wengi wameinuka baada ya wanaume kuwatelekeza halafu wanahamisha skills kwa wengine na vizazi vyao.
 
NAKAZIA
 
I apologize for using harsh language towards you, and I hope you don't take it personally. I admire your patience and positivity; you're a shining example that good-hearted people still exist.
Kumbuka madogo mapalestina yanapiga mihayo kwa njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…