Mike Moe
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 319
- 335
Afisa mwandikishaji jimbo la tabora mjini seif. S. Seif ametoa tangazo la walioitwa kwenye usaili wa waandishi wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki jimbo la tabora mjini utakaofanyika katika ukumbi wa halmashauri ya manispaa ya tabora siku ya tarehe 11-12/7/2024 kuanzia saa 8:00AM
Karibuni wadau tupeane maujanja jinsi ya kutoboa kwenye usaili kwa wale wenye uzoefu yani tayari walishawahi kufanya usaili huu karibuni mtujuze maswali yanayoulizwa huko ndani ya chumba cha usaili vitu gani vya kuenda navyo siku ya usaili