Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
hongeraHakuna kitu kama hicho
Mawakala wa vyama watakuepo kutambua watu wa kata na mitaa yao wenyeviti pia wamo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hongeraHakuna kitu kama hicho
Mawakala wa vyama watakuepo kutambua watu wa kata na mitaa yao wenyeviti pia wamo
Unaweza ukwulizwa kwann umeomba hiyo kazi au labda ukiulizwa kwasasa unafanya kazi ukasema labda nimeajiliwa au nimejiajili swali litakalofata hapo ni kwann umeomba kazi na usiwaachie ambao hawana ajira ukipanick hapa kama kweli ww nimuajiliwa utalamba udongo, kuna mama alitoa ushuhuda aliingia akaulizwa kwanini umeomba hii kazi akajibu si nyie ndio mmetoa tangazo tuombe hajalamba ajira ameisha kupigwa baridi la saa kumi na mbili asubuhi mpaka saa tano usiku na kushinda na njaa akizani kwamba itatoka kata fulani iingie yaoBila shaka hayo maswali yatakuwa yanahusu zoezi la uandikishaji