Nimepitia majina ya tulioitwa katika kata niliyopo majina manne kati ya yote ni walimu walionifundisha kipindi niko O level na mmoja ni msichana aliyekuwa amenitangulia darasa moja enzi hizo tunasoma wacha hiyo tar ifike twende kwenye usaili tukajionee wengi ni watu wa aina ganiHapo bhana,sio kwamba nakuvunja moyo,angalia majina ya watu walio omba alafu Sasa,jaribu kuwachukua maelezo,km Kuna watu unawafaham na km kunamtu aliwahi fanya hiyo interview
Ila connection hapo ni muhim,hizi interview za nafasi za mda wengi wanoingia hata sifa hawana
Tabora mmefikiwa tayari? majina ya walioitwa kwenye usaili yanabandikwa wapi? au kwenye kata zao? wacha nimpigie rafki angu aliomba pia yuko taboraAfisa mwandikishaji jimbo la tabora mjini seif. S. Seif ametoa tangazo la walioitwa kwenye usaili wa waandishi wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki jimbo la tabora mjini utakaofanyika katika ukumbi wa halmashauri ya manispaa ya tabora siku ya tarehe 11-12/7/2024 kuanzia saa 8:00AM
Karibuni wadau tupeane maujanja jinsi ya kutoboa kwenye usaili kwa wale wenye uzoefu yani tayari walishawahi kufanya usaili huu karibuni mtujuze maswali yanayoulizwa huko ndani ya chumba cha usaili vitu gani vya kuenda navyo siku ya usaili
Mchukue maelezo mapema km una muweza,sio lzm iwe direct yeye atajiongeza km ni mtu wa kukusaidia atakusaidia km atakaza achana nae,all Zen bestNimepitia majina ya tulioitwa katika kata niliyopo majina manne kati ya yote ni walimu walionifundisha kipindi niko O level na mmoja ni msichana aliyekuwa amenitangulia darasa moja enzi hizo tunasoma wacha hiyo tar ifike twende kwenye usaili tukajionee wengi ni watu wa aina gani
Naomba kuleta mrejesho kwenye hii komenti ndugu yangu baada ya usahili kufanyika nilifanikiwa kupenya namshukuru mungu nilipokea meseji ya kuitwa kwenye mafunzo, ila kwa nilichokiona siku ya interview na kwa watu tuliofanikiwa kupenya swala la connection halikuwa na nafasi kwa asilimia kubwa siwezi kusema asilimia mia uwezo wako wa kujibu maswali kwa ufasaha ndio unaokupa kipaumbeleHapo bhana,sio kwamba nakuvunja moyo,angalia majina ya watu walio omba alafu Sasa,jaribu kuwachukua maelezo,km Kuna watu unawafaham na km kunamtu aliwahi fanya hiyo interview
Ila connection hapo ni muhim,hizi interview za nafasi za mda wengi wanoingia hata sifa hawana
Mkuu maswali haswa yanahusu nn?....natanguliza shukranNaomba kuleta mrejesho kwenye hii komenti ndugu yangu baada ya usahili kufanyika nilifanikiwa kupenya namshukuru mungu nilipokea meseji ya kuitwa kwenye mafunzo, ila kwa nilichokiona siku ya interview na kwa watu tuliofanikiwa kupenya swala la connection halikuwa na nafasi kwa asilimia kubwa siwezi kusema asilimia mia uwezo wako wa kujibu maswali kwa ufasaha ndio unaokupa kipaumbele
MASWALI yalikuwa ya aina ganiNaomba kuleta mrejesho kwenye hii komenti ndugu yangu baada ya usahili kufanyika nilifanikiwa kupenya namshukuru mungu nilipokea meseji ya kuitwa kwenye mafunzo, ila kwa nilichokiona siku ya interview na kwa watu tuliofanikiwa kupenya swala la connection halikuwa na nafasi kwa asilimia kubwa siwezi kusema asilimia mia uwezo wako wa kujibu maswali kwa ufasaha ndio unaokupa kipaumbele
Kadi ya CCM na walauwe uwe mtoto wa wale mashangingi na mamaza ya CCMAfisa mwandikishaji jimbo la tabora mjini seif. S. Seif ametoa tangazo la walioitwa kwenye usaili wa waandishi wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki jimbo la tabora mjini utakaofanyika katika ukumbi wa halmashauri ya manispaa ya tabora siku ya tarehe 11-12/7/2024 kuanzia saa 8:00AM
Karibuni wadau tupeane maujanja jinsi ya kutoboa kwenye usaili kwa wale wenye uzoefu yani tayari walishawahi kufanya usaili huu karibuni mtujuze maswali yanayoulizwa huko ndani ya chumba cha usaili vitu gani vya kuenda navyo siku ya usaili
Tupe mfano wa hayo maswaliNaomba kuleta mrejesho kwenye hii komenti ndugu yangu baada ya usahili kufanyika nilifanikiwa kupenya namshukuru mungu nilipokea meseji ya kuitwa kwenye mafunzo, ila kwa nilichokiona siku ya interview na kwa watu tuliofanikiwa kupenya swala la connection halikuwa na nafasi kwa asilimia kubwa siwezi kusema asilimia mia uwezo wako wa kujibu maswali kwa ufasaha ndio unaokupa kipaumbele