Unaweza ukwulizwa kwann umeomba hiyo kazi au labda ukiulizwa kwasasa unafanya kazi ukasema labda nimeajiliwa au nimejiajili swali litakalofata hapo ni kwann umeomba kazi na usiwaachie ambao hawana ajira ukipanick hapa kama kweli ww nimuajiliwa utalamba udongo, kuna mama alitoa ushuhuda aliingia akaulizwa kwanini umeomba hii kazi akajibu si nyie ndio mmetoa tangazo tuombe hajalamba ajira ameisha kupigwa baridi la saa kumi na mbili asubuhi mpaka saa tano usiku na kushinda na njaa akizani kwamba itatoka kata fulani iingie yao
Acha tusubiri, nikikumbuka nilivyopigwa chini zile za mambo ya makazi nakosa nguvu kabisa.
Kata yetu wengi waliingia kwa connection tu sijui hizi itakuaje