inaweza kubadilika kadiri majaji watakavyoona inafaa,Nakumbuka kama vile ilipangwa kusikilizwa mfululizo kuanzia tarehe 10.8.2026. Ratiba bado iko hivyo au kuna mabadiriko?
Anajua yanaweza kuwepo ndo maana kauliza kama yapo.inaweza kubabaika kadiri majaji watakavyoona inafaa,
kuna tatizo lolote?🐒
AMINAKalenda haijabadilika hata nukta.
Kuna shida gani kwenye Afya Lissu?Kuna taarifa za mtaani zinasema kuwa kesi itasogezwa mbele kutokana na afya ya TUNDU LISSU haiko poa sanaa
Mkata viuno upo macho sana na mabandiko ya chadema hivi hujui sisi adui yetu ni Wala rushwa walioko ndani ya CCM?inaweza kubabaika kadiri majaji watakavyoona inafaa,
kuna tatizo lolote?🐒
Shida ya mifupa ya nyongaKuna shida gani kwenye Afya Lissu?
Tujuzane ili tuhudhurie kwa umoja na uzalendo wetu.Nakumbuka kama vile ilipangwa kusikilizwa mfululizo kuanzia tarehe 10.8.2026. Ratiba bado iko hivyo au kuna mabadiriko?
NotedTAREHE KUMI 10 NDIO DEDLINE YA COMMONWEALTH.