Tupeane taarifa na tetesi za usajili hapa.

Tupeane taarifa na tetesi za usajili hapa.

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Tukielekea pambano la mwisho kabisa leo kitakachofuatavhapa ni pilika pilika za kusaini wachezaji wapya kwa msimu ujao 2022/2023

Mbali na azam waliotangaza kutwaa wachezaji wawili wa Ivory coast wengine wote zimebaki kuwa tetesi tu ambazo uhakika wake bado mdogo

Hebu wale wenye za ndaani kabisa tujuzane hapa.

Inasemekana mtukutu Morrison anarejea Yanga,je kuna uhakika na hili?
 
Mbona Kuna Uzi maalumu was tetesi za usajili mods waunganishe
 
Back
Top Bottom