ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Tukielekea pambano la mwisho kabisa leo kitakachofuatavhapa ni pilika pilika za kusaini wachezaji wapya kwa msimu ujao 2022/2023
Mbali na azam waliotangaza kutwaa wachezaji wawili wa Ivory coast wengine wote zimebaki kuwa tetesi tu ambazo uhakika wake bado mdogo
Hebu wale wenye za ndaani kabisa tujuzane hapa.
Inasemekana mtukutu Morrison anarejea Yanga,je kuna uhakika na hili?