Empress_sheila
JF-Expert Member
- Apr 16, 2022
- 293
- 336
- Thread starter
-
- #101
Hivi hakuna njia ya kuwa star kistarabu hadi niwe natukana watu? Halafu mi na huyo msichana tumezaliwa tar sawa siku ya mtoto wa africaNiambie mambo anayofanya gigy money wewe kwa mtazamo wako unayaonaje? Nikijua tu unayaonaje ntajua kama unaweza kua star au la
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Nawezaje sasaSi uingie telegram urushe madude ukiwa kama unaruka na ungo
Nawezaje?Si uingie telegram urushe madude ukiwa kama unaruka na ungo
SawaNjoo pm tufanye njia ambayo itapelekea utrend
Mtag hapa nimjue mkuuMcheki machozi..akupe tips za utoke vipi.
#MaendeleoHayanaChama
Naogopanjoo tutoe connection ya dhambi utanishukuru badae[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ndiyo ikoje? Naiombamimi nakupa nguo ya wonder women.
unaogopa nini wakati unataka kua maarufu. toa dhambiNaogopa
njoo pmNdiyo ikoje? Naiomba
Si uingie telegram urushe madude ukiwa kama unaruka na ungoTupeane tips za kujulikana hapa bongo kuwa super star., Ni kama vile nahisi ukiwa star ndiyo hata mabwana wenye pesa unawapata maana siye wengine tunaitwa warembo huku mtaani lakini dah! Mabwana wa maana hata hatuwapati, gigs za maana hakuna kabisa sijui tunakosea wap[emoji12]
Uzi tayari!
Hauwez kua mstaarabu na ukawa star sasa kama vipi njoo nikuoe tu ukae ndanHivi hakuna njia ya kuwa star kistarabu hadi niwe natukana watu? Halafu mi na huyo msichana tumezaliwa tar sawa siku ya mtoto wa africa
Ndio hicho anachokiulizia ili apate pesaTafuta pesa binti, ujikwamue kiuchumi.. utasahau huo ujinga unaowaza... narudia Tena tafuta pesa.
Kama wema lakini niwe na nahongwa kama uwoya halaf niwe na akili ya kuwekeza kama bakhresa nataka niwe na king'amuzi changu na kiwanda kikuubwa cha nyara ya serikali kama sukari hivi au mafuta ya kula
Ndiyo! Sukar ni nyara ukitaka kujua subir sukari iadimike, sukar inaeza kusababisha serikali ikapinduliwa! Ndiyo maana unaona sukar huwa haiadimiki ovyo ila kipindi maalum mfano ramadanSukari ni nyara ya serikali.!
Vyote siweZTembea bila nguo, jipendeze kwa binadamu wenzako...
Doh!Kumbe hawa ni mitu mbili tofauti?.[emoji116] ya juu na ya chiniView attachment 2215006