Empress_sheila
JF-Expert Member
- Apr 16, 2022
- 293
- 336
- Thread starter
- #101
Hivi hakuna njia ya kuwa star kistarabu hadi niwe natukana watu? Halafu mi na huyo msichana tumezaliwa tar sawa siku ya mtoto wa africaNiambie mambo anayofanya gigy money wewe kwa mtazamo wako unayaonaje? Nikijua tu unayaonaje ntajua kama unaweza kua star au la
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app