Tupeane tips za kujulikana hapa bongo kuwa superstar

Tupeane tips za kujulikana hapa bongo kuwa superstar

Niambie mambo anayofanya gigy money wewe kwa mtazamo wako unayaonaje? Nikijua tu unayaonaje ntajua kama unaweza kua star au la

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Hivi hakuna njia ya kuwa star kistarabu hadi niwe natukana watu? Halafu mi na huyo msichana tumezaliwa tar sawa siku ya mtoto wa africa
 
Tupeane tips za kujulikana hapa bongo kuwa super star., Ni kama vile nahisi ukiwa star ndiyo hata mabwana wenye pesa unawapata maana siye wengine tunaitwa warembo huku mtaani lakini dah! Mabwana wa maana hata hatuwapati, gigs za maana hakuna kabisa sijui tunakosea wap[emoji12]

Uzi tayari!
Si uingie telegram urushe madude ukiwa kama unaruka na ungo
 
Kumbe hawa ni mitu mbili tofauti?.[emoji116] ya juu na ya chini
Screenshot_20220507-104609.jpg
 
Oya Jafe mwanangu ndo tunamaliza hivyo, hujatokea ila umetisha sana…. Kunze hapa.!
 
Kama wema lakini niwe na nahongwa kama uwoya halaf niwe na akili ya kuwekeza kama bakhresa nataka niwe na king'amuzi changu na kiwanda kikuubwa cha nyara ya serikali kama sukari hivi au mafuta ya kula

Sukari ni nyara ya serikali.!
 
Sukari ni nyara ya serikali.!
Ndiyo! Sukar ni nyara ukitaka kujua subir sukari iadimike, sukar inaeza kusababisha serikali ikapinduliwa! Ndiyo maana unaona sukar huwa haiadimiki ovyo ila kipindi maalum mfano ramadan
 
Back
Top Bottom