Tupeane tips za kujulikana hapa bongo kuwa superstar

Umebaki wewe Tu Sasa hivi tuna spiderman wa bongo, nasubiri toleo lako mkuu kwa hizi comments utakuwa ushapata ujio wako 🤣
 

Empress_sheila upo serious au upo kwenye jokes, Kama upo serious ningependa nizione account zako za social media nione jinsi unavyozimanage, na baada hapo ndipo ushauri wangu utakapoanzia. Karibu PM kama upo kwa mazungumzo yakina zaidi.​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…