Tupeane tips za kujulikana hapa bongo kuwa superstar

Tupeane tips za kujulikana hapa bongo kuwa superstar

Umebaki wewe Tu Sasa hivi tuna spiderman wa bongo, nasubiri toleo lako mkuu kwa hizi comments utakuwa
279741161_529073641932649_6398571809064638273_n.jpg
ushapata ujio wako 🤣
 

Empress_sheila upo serious au upo kwenye jokes, Kama upo serious ningependa nizione account zako za social media nione jinsi unavyozimanage, na baada hapo ndipo ushauri wangu utakapoanzia. Karibu PM kama upo kwa mazungumzo yakina zaidi.​

 
Back
Top Bottom