Empress_sheila
JF-Expert Member
- Apr 16, 2022
- 293
- 336
- Thread starter
- #121
Unazo za kunitunza?Hauwez kua mstaarabu na ukawa star sasa kama vipi njoo nikuoe tu ukae ndan
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazo za kunitunza?Hauwez kua mstaarabu na ukawa star sasa kama vipi njoo nikuoe tu ukae ndan
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Dah!unaogopa nini wakati unataka kua maarufu. toa dhambi
Hapana mie ccmJiunge Chadema, kosoa serikali
Vitu vinavyowapa watu umaarufu ni
1.siasa
2.Uwanamitindo
3.uigizaji
4.umiss
5.uchekeshaji
6.uimbaji
Ukikomaa hata na kimoja wapo happo juu lazima uwe Maarufu
KhaaaMkuu umesahau na Umalaya
KweliUmebaki wewe Tu Sasa hivi tuna spiderman wa bongo, nasubiri toleo lako mkuu kwa hizi comments utakuwaView attachment 2216234 ushapata ujio wako [emoji1787]
Duuh! Hii kali au kwasababu U imetawala kenye hayo manenoMkuu umesahau na Umalaya
[emoji23]nomaAisee!
Okay...apambaneNdio hicho anachokiulizia ili apate pesa
Apambaneje kama mnavyopambana nyie?.Okay...apambane
Wewe Ndio manager wake?mbona Kama inakuwasha?Apambaneje kama mnavyopambana nyie?.
Doh!Kwanza unatakiwa akili zako uziweke pembeni na kutumia kiungo kingine kufikiria..........
Hela unayo hata vilakilaki hivi...?!alafu ww unataka umaarufu au unataka wanaume wenye hela...?!Hilo siwezi mkuu nina mipaka yangu