Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Ila c Kuna course zile ambazo ni lazima Kila mtu ahudhulie kama vile POLINI
PORINI Kule Unakutana Na Watu Wa Kazi Ambao Hawakuangalii Usoni Mara 2... Ni Lazima Ufanye Mafunzo Kwa Ulazima Hata Kama Hutaki

Porini Ni Kulazimisha Mwili Tu Mambo Yaende... Mwishoni Wa Kozi One Month Before Kumaliza Ndo Vitengo Vinaanza Kama PARADE, JUDO etc

Wale Wa Vitengo Huteseka Sana Porini...
 
Vip ukitaka kwenda kujiendeleza kielimu hua wanaruhusu au kutoka ni kipengele?
 
Vyote Vipo... Ni Kupangilia Muda Wako Uende Kumaliza Sala/Dua Zako Kwa Wakati...

Muhimu Uende Kote Huko Bila Kuathiri Ratiba Ya Mafunzo Kama Ilivyopangw

PORINI Kule Unakutana Na Watu Wa Kazi Ambao Hawakuangalii Usoni Mara 2... Ni Lazima Ufanye Mafunzo Kwa Ulazima Hata Kama Hutaki

Porini Ni Kulazimisha Mwili Tu Mambo Yaende... Mwishoni Wa Kozi One Month Before Kumaliza Ndo Vitengo Vinaanza Kama PARADE, JUDO etc

Wale Wa Vitengo Huteseka Sana Porini...
Hua ni muda Gani baada ya kuripoti ndo ni porini
 
Hua ni muda Gani baada ya kuripoti ndo ni porini
Kiuhalisia Porini Ni Miezi 2 Kabla Ya Kumaliza Kozi Ambapo Mtaenda Kwa Awamu Za Kikombania....

Kila Askari Katika Kozi Lazima Apitie Porini Kwa Muda Wa Miezi 2 Au Labda Maelekezo Tofauti Toka Kwa Wakufunz...

Kuna Muda Porini Ni Mwezi Tu Wa Mchakamchaka Mnene Kisha Mnamaliza Pori...
 
Ila c Kuna course zile ambazo ni lazima Kila mtu ahudhulie kama vile POLINI
Ndio hii course yenu ni ya basic tu...baada ya hapo Kuna wengine watabaki...huko kuendelea na course za mambo mengine...au mtatengwa kulingana na elimu...!

Mkiingia madarasani mtakuwa Kila afisa mwanafunzi anaingia darasa linalo muhusu...!​
 
Ukiachana na mshahara posho ni zipi na zipi mkuu?
Posho Za Pango/Rent...

Posho Za Technical kama vile ujenzi, Ufundi, Ushonaji, Udereva

Posho Za Ujuzi/Professional Kwa Degree Tu

Posho Za CID/Upelelezi

Posho Ni Nyingi Inategemea Tu Na Kitengo Chako Utakacho pangwa...
 
Kiuhalisia Porini Ni Miezi 2 Kabla Ya Kumaliza Kozi Ambapo Mtaenda Kwa Awamu Za Kikombania....

Kila Askari Katika Kozi Lazima Apitie Porini Kwa Muda Wa Miezi 2 Au Labda Maelekezo Tofauti Toka Kwa Wakufunz...

Kuna Muda Porini Ni Mwezi Tu Wa Mchakamchaka Mnene Kisha Mnamaliza Pori...
Daaah nakumbuka ile polini kule Nachingwea aiseee..
Polini pasikie tuu
 
Hapana ila nimeishi maisha yangu mengi na watu waliopita ccp kwa kifupi Mimi ni mtoto wa kota...! Police wamenilea na kunisomesha...!

Hakuna jambo la police ambalo silifahamu😂😂😂​
umekula na umesomeshwa na hela za rushwa mkuu, Tubu!

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Kitengo gani ni kizuri eti wakuu maana nmeskia kuna vitengo kama upelelezi, utrafik, FFU, polisi kawaida wa kukaa kituoni na lindo, na vinginevingine uko?
Upelelezi sio Kila mtu anaweza kuwa hapo...hiyo inategemea sana ufaulu wako na aina ya elimu uliyo nayo japo na yenyewe inaanzia kwa wenye elimu ya kidato Cha nne na kuendelea...!

Askari wote wanafundishwa basic ya upelelezi ila wachache ndio hupewa course full ya CID...! hao huchaguliwa mara baada ya kuanza mafunzo...!

Ila vitengo vilivyo Baki ni vya Kila askari...askari yeyote anaweza kuwa trafiki, ffu, akawa mapokezi ila sio Kila askari anaweza kuwa mpelelezi.

Na kwenye hao wapelelezi wamegawanyika katika makundi 3. Wapelelezi wa ndani ya jeshi kwaajili ya kumalizana wenyewe kwa wenyewe.

Wana intelligency kwaajili ya kuangalia athari za matukio yatakayo zua taharuki kwenye jamii🤣🤣🤣

Na CID ambao ukiwa na kesi Yako umekabwa au kubakwa yeye ndio anakusanya ushahidi Kisha ushahidi wake unatumika kumtia hatiani mtuhumiwa🤗

Kwa hiyo sio Kila askari anaweza kupangiwa kuwa kwenye kitengo Cha upelelezi...!​
 
Back
Top Bottom