Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Kiuhalisia Porini Ni Miezi 2 Kabla Ya Kumaliza Kozi Ambapo Mtaenda Kwa Awamu Za Kikombania....

Kila Askari Katika Kozi Lazima Apitie Porini Kwa Muda Wa Miezi 2 Au Labda Maelekezo Tofauti Toka Kwa Wakufunz...

Kuna Muda Porini Ni Mwezi Tu Wa Mchakamchaka Mnene Kisha Mnamaliza Pori...
Kwa kawaida kombania Moja inaweza kua na kuruta kama wangap
 
Mbona hayo mambo kama jkt tuu aiseee nahisi kwa sisi wa jkt hapo kinachoongezeka ni masomo tuu
Ukienda CCP Usiende Na U JKT Wako Maana Mnajikutaga Majeshi Sana Ndo Maana Wakufunzi Wanawadisi...

POLISI NI NIDHAMU... Huko JKT Mlifundishwa Wepesi Ila Polisi Hayo Mambo Hamna Aisee..

NDO MAANA POLISI WALIONDOA KIGEZO CHA JKT MAANA HAWANA NIDHAMU NA WANAJIKUTA MAJESHI SANA...

Itoshe Kusema Kwamba Wale Wasio na kuelewa wa JKT na wametoka tu kitaa huwa na NIDHAMU sana Wakifika Mafunzoni...
 
umekula na umesomeshwa na hela za rushwa mkuu, Tubu!

JESUS IS LORD&SAVIOR
Sina Cha kutubu alie nilea 100% alikuwa muadirifu sana hakuwa mla rushwa...kabisa

Ila Kuna God father mmoja mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi huyo mwamba alikuwa Hana shida ya pesa.

Ukitangaza tu Nia kuwa unapenda kujiunga na jeshi la POLISI lazima akupe nafasi huyo mwamba alikuwa na shida ya Nia Yako tu...sio pesa

Mzee MATANGA MBUSHI mwenyezi Mungu akulaze mahala pema peponi...!😭😭😭😭😭😭 Kila nikilizungumzia jeshi la POLISI Huwa jina la huyu mzalendo mwenye upendo na ukarimu Lina nijia...!​
 
Ukienda CCP Usiende Na U JKT Wako Maana Mnajikutaga Majeshi Sana Ndo Maana Wakufunzi Wanawadisi...

POLISI NI NIDHAMU... Huko JKT Mlifundishwa Wepesi Ila Polisi Hayo Mambo Hamna Aisee..

NDO MAANA POLISI WALIONDOA KIGEZO CHA JKT MAANA HAWANA NIDHAMU NA WANAJIKUTA MAJESHI SANA...

Itoshe Kusema Kwamba Wale Wasio na kuelewa wa JKT na wametoka tu kitaa huwa na NIDHAMU sana Wakifika Mafunzoni...
Ni kweli kaka ata mm niliskia wakiwadisi waliopita jkt
 
Ukienda CCP Usiende Na U JKT Wako Maana Mnajikutaga Majeshi Sana Ndo Maana Wakufunzi Wanawadisi...

POLISI NI NIDHAMU... Huko JKT Mlifundishwa Wepesi Ila Polisi Hayo Mambo Hamna Aisee..

NDO MAANA POLISI WALIONDOA KIGEZO CHA JKT MAANA HAWANA NIDHAMU NA WANAJIKUTA MAJESHI SANA...

Itoshe Kusema Kwamba Wale Wasio na kuelewa wa JKT na wametoka tu kitaa huwa na NIDHAMU sana Wakifika Mafunzoni...
Na wengi wasicho kijua ni kuwa JKT ilizaliwa na jeshi la POLISI ilikuwa ni kikosi kidogo Cha uzalishaji ndani ya jeshi la POLISI...!

baadae ikatengwa Ikawa taasisi inayo jitegemea na wengi wanaifananisha jkt na JWTZ wasio lijua jeshi ila kiharisia uniform za askari wanaofanya kitengo Cha jkt ziko tofauti kabisa na JWTZ...!​
 
Sina Cha kutubu alie nilea 100% alikuwa muadirifu sana hakuwa mla rushwa...kabisa

Ila Kuna God father mmoja mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi huyo mwamba alikuwa Hana shida ya pesa.

Ukitangaza tu Nia kuwa unapenda kujiunga na jeshi la POLISI lazima akupe nafasi huyo mwamba alikuwa na shida ya Nia Yako tu...sio pesa

Mzee MATANGA MBUSHI mwenyezi Mungu akulaze mahala pema peponi...!😭😭😭😭😭😭 Kila nikilizungumzia jeshi la POLISI Huwa jina la huyu mzalendo mwenye upendo na ukarimu Lina nijia...!​
Rip Mzee Matanga🙏🏽
 
Kwelii
 
Rip Mzee Matanga🙏🏽
Acha kabisa ndugu yangu kama Kuna askari ambae hajapita kwenye mikono ya huyu mwamba haiwezi kuelewa 2014 kurudi nyuma...!

Hii njemba ilikuwa Nouma sana kwakweli siku ya msiba wake nililia sana...!

Njemba ilikuwa ikikupa ramani unachagua kitengo na mkoa unao uhitaji...!

Amesaidia wengi sana...! Idadi yake ni sawa na nusa ya askari wote wa POLISI Tanzania​
 
Dah kwa waliopitia Mikono Yake Haina Budi Kumlipa Fadhila Kupitia Watoto Wake Na Familia Kiujumla Kwa Wenye Uhitaji Kujiunga Na Jeshi La Polisi
 
Watoto wake awawezi kupata tabu enzi zake kipindi kama hichi nafasi zimetoka ujue kijijini kwao Kuna Kosta 3 zinakuja Moshi zikiwa na vijana 😂😂😂😂 wenye maelekezo maalumu

Na huyu mwamba alikuwa ahangalii pesa uwe nayo usiwe nayo jeshi utajiunga tu...uwe na elimu usiwe nayo jeshi utajiunga tu...! Kikubwa uweze kuandika na kusoma😂😂😂

Dah nzuri sana hii MUNGU ambariki sana Mwamba
 
Sina Cha kutubu alie nilea 100% alikuwa muadirifu sana hakuwa mla rushwa...kabisa

Ila Kuna God father mmoja mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi huyo mwamba alikuwa Hana shida ya pesa.

Ukitangaza tu Nia kuwa unapenda kujiunga na jeshi la POLISI lazima akupe nafasi huyo mwamba alikuwa na shida ya Nia Yako tu...sio pesa

Mzee MATANGA MBUSHI mwenyezi Mungu akulaze mahala pema peponi...!😭😭😭😭😭😭 Kila nikilizungumzia jeshi la POLISI Huwa jina la huyu mzalendo mwenye upendo na ukarimu Lina nijia...!​
aisee wewe ni pongo, tena namba H.
 
Back
Top Bottom