Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

bro unavyosema utadhani ni kweli. milioni nne kwa ajili ya upongo, na anayetaka kukupatia naye ni pongo hawa wa mishahara ya laki saba bado pancha kibaaaao!?
Hakuna kazi yenye marupu rupu mengi kama POLISI...haswa POLISI nilie mzungumzia ana nyota 2 na mtu yeyote akisha kuwa serikalini hata kama ana lipwa 200,000/ ujue anakopesheka kwenye taasisi yoyote...!​
 
Ni kwata ama inakua Kuna nn uko porini hadi wanapaogopa sana duh
Sisi tulitembea tuu mkuu tukiwa na binduki.. ila sasa tulitembea umbali mrefu.. pata picha mnatembea 11 mpaka sa tano mnapiga tea hapo mnatembea tena mpk sa 11 jioni

Jua kali na mnakua kwenye msururu bado huko njiani mnakutana na ambush... .
Fimbo zinatembea kinoma noma..

Siraha unakuta ni nzito wanataka ubebe bila kamba...

Maisha ya polini yalikua sio poa aisee kulala mda mchache..

Kaa yenu nyie ni ya kupiga goti moja assume tuu. Magoti inafikia kipindi yalikua yanauma mno
 
K
Kwa Mfano Intake Ya J3 Mchakato ulikuwa mrefu.... Ajira Zilitangazwa Mwezi Wa 12 Mwezi Wa 1 Katikati Hapo Usaili Kisha Post Za Awamu Ya Kwanza Kuitwa Kambini Zikatoka Mwezi Wa 4

SO MCHAKATO NI MREFU KIDJ3 ndo nn mkuu?
Hapana Mimi sikupata ila niliwahi kuwalia pesa watu kama 15 kwa nyakati tofauti tofauti hivi ambao nilimpigia simu MATANGA akawa sajili jeshini😂😂...!

Hao jamaa Hadi Leo ni maaskari mwenye cheo kidogo ni sergeant...mmoja amefariki mwanzoni mwa mwaka huu alikuwa anaitwa inspector NYOMBI {R.I.P}

Hao mamwamba niliwapiga pesa wakajiunga na POLISI Hadi Leo wanaamini kuwa Mimi ni mtu mwenye cheo kikubwa sana kumbe nilikuwa natumia fursa ya MATANGA MBUSHI

Mwaka juzi Kuna mmoja kati ya hao alikuwa yupo teyari anipe 4 milioni ili nimuunganishie ndugu yake😂😂😂

Kama nilivyo muunganishia yeye na huyu jamaa ana nyota 2😂😂😂

Nikamwambia tuu ukweli hivi sasa uwezo huo Sina nipo nje ya system 😂😂😂​
Kwamba Unataka kusema mwenye nyota mbili hana connection mpka kakutafuta ww?!!🤔
 
Me Nachoamini Jeshini Mtu Anaweza Kuwa Na Cheo Kidogo Ila Akawa Na Influence/Ushawishi Mkubwa Sana Wa Wewe Kupata Ajira Ndani Ya System...

Jeshini Usimdharau Mtu, Anaweza Kuwa Constable/Coplo Ila Anaweza Kukupa Connection Ya Ajira Kuliko Wenye Vyeo Vikubwa...
 
Yaaani naonaga wanazingua tuu...
Ahahahaha maneno maneno kibao mi naona ningumu sana kuunganisha mtu aisee
 
Dahv
Sisi tulitembea tuu mkuu tukiwa na binduki.. ila sasa tulitembea umbali mrefu.. pata picha mnatembea 11 mpaka sa tano mnapiga tea hapo mnatembea tena mpk sa 11 jioni

Jua kali na mnakua kwenye msururu bado huko njiani mnakutana na ambush... .
Fimbo zinatembea kinoma noma..

Siraha unakuta ni nzito wanataka ubebe bila kamba...

Maisha ya polini yalikua sio poa aisee kulala mda mchache..

Kaa yenu nyie ni ya kupiga goti moja assume tuu. Magoti inafikia kipindi yalikua yanauma mno
Kaka za nn tena ukigoma au

Fimbo za nn tena au mlikua mnagoma😁
 
Dahv

Kaka za nn tena ukigoma au

Fimbo za nn tena au mlikua mnagoma😁
Kuna mda mnaambiwa muwe mna kloo sasa kipindi mna kloo unakuta mpo wengi hvo wanachotakaa muwe fasta hvo hapo ndo fimbo zinapoanza wanaoshika fimbo ni wale service man.

Naposema fimbo sio vigongo hapana ila ni mikwaju ya kawaida tu ila kwa lile wenge mnakua mnaogopa sana.

Mda huo unafanya yote upo na binduki yako..

Sasa ole wako badae bunduki yako ikutwe haina kifaa fulani.. oyaa weeeh utajutra
 
H

iyo ni jeshini au?
 
K

Kwamba Unataka kusema mwenye nyota mbili hana connection mpka kakutafuta ww?!!🤔
Huto amini ila ingekuwa ndio hivyo Kila askari ndugu yake angekuwa POLISI...!

Yani kwa kifupi askari hawezi kwenda kwa boss wake kukuombea nafasi...! Na wenye nafasi zao za maelekezo ndani ya jeshi letu awazidi 20 Yani hao ndio wenye mamlaka ya kukupa ki memo Cha ajira...!​
 
Kuna mda mnaambiwa muwe mna kloo sasa kipindi mna kloo unakuta mpo wengi hvo wanachotakaa muwe fasta hvo hapo ndo fimbo zinapoanza wanaoshika fimbo ni wale service man.

Naposema fimbo sio vigongo hapana ila ni mikwaju ya kawaida tu ila kwa lile wenge mnakua mnaogopa sana.

Mda huo unafanya yote upo na binduki yako..

Sasa ole wako badae bunduki yako ikutwe haina kifaa fulani.. oyaa weeeh utajutra
Ni hatar kwakweli vp kuhusu kuchimba mahandaki au hiyo kule hamna
 
anakopesheka sh ngapi. marejesho watakata sh ngapi kwa mshahara kiduchu huo
Nimezungumza wewe ulipo shangaa kuwa Kuna askari alikuwa anataka kulipa 4 milioni ili ndugu yake apate nafasi...!

Ndio maana nikakwambia kuwa ukisha kuwa serikalini unakopesheka ili mradi tu uwe na mkataba wa kudumu...!

Kwa mshahala huo mtu anaweza kuchukua hata 10 milioni akailipa miaka hata 12 na mishahala ya serikali unapanda kadri unavyo zidi kupanda daraja...!

Private wa jeshi la POLISI alie ajiriwa miaka 10 iliyopita sio sawa na private utakae ajiriwa Leo kimshahala...!​
 
Ni hatar kwakweli vp kuhusu kuchimba mahandaki au hiyo kule hamna
Yapo watu wanne mnachimba mahandaki ya mfumo wa T au L mengine nimesahau ila hapo kwenye kuchimba ni shughuli maana kuna seh mu ngumu alafu mda wa kuchimba mchache.

Alafu wanapita kukagua hakuna kiumbe kuwa juu juu ahahah
 
Me Nachoamini Jeshini Mtu Anaweza Kuwa Na Cheo Kidogo Ila Akawa Na Influence/Ushawishi Mkubwa Sana Wa Wewe Kupata Ajira Ndani Ya System...

Jeshini Usimdharau Mtu, Anaweza Kuwa Constable/Coplo Ila Anaweza Kukupa Connection Ya Ajira Kuliko Wenye Vyeo Vikubwa...
Kumbe umenielewa kikubwa ni kumfikia senior uhusiano na senior mwenye uwezo wa kutoa ki memo 😂😂😂​
 
Back
Top Bottom