X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
Ndio mkuu JKT kule..... Ahahaha ndo mana nikasema kwenye ishu ya mazoezi mbona kama police wanafanana na ya kule jkt..
Maana kukimbia kule ni daily ili ule lazima upige rout kwanza
Mazoezi yapo tofauti...jkt unafundishwa uzalendo wa kujilinda wewe na mali zako😂😂😂😂
Na Ile ni basic tu ya maswala ya ulinzi. Kikubwa jkt ni chuo Cha uzalishaji.
Majeshi mengine yanafundishwa ulinzi kwa muktadha mpana wa ulinzi wa kitaifa. Kwa kifupi
JWTZ... Kulinda nchi na mipaka.
UT....usalama wa mipaka
PT....usalama wa Raia na mali zao
FT. Uzima moto na uhokoaji
TISS... Usalama wa kiuchumi, siasa ndani na nje ya mipaka ya nchi